dem-wa-konabar
Member
- Sep 7, 2013
- 68
- 8
Badili na jina lako DEMU WA KONA BAR wapi na wapi na SCOAN ....Wapendwa katika bwana. Tuangalieni Emmanuel Tv...TB Joshua man of God...miujiza mikubwa inafanyika. Distance is not a barrier. .hakika nawe pia utaguswa jumapili hii takatifu ya leo. Mungu atubariki sana. AMINA.
Mungu akusamehe kwasababu hujui hulisemalo.
Mwizi tu huyo Joshua
Badili na jina lako DEMU WA KONA BAR wapi na wapi na SCOAN ....
Kwan madem wote wa
kona bar ni malaya?..Wanamme wengine bana kwa kukariri.. Nyoshi aliwahi
kuwaimbia...sio kila mwanamke anayeenda bar anajiuza...ni malaya au hana
pesa....wengine kama mimi ni wacha Mungu na tunajiheshimu. Mungu akupe
uelewa.