Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,468
- 18,556
Hongera Mkoa wa Arusha, mmepata upendeleo.
Royal Tour ndani ya jiji, ndani ya ukumbi wa AICC.
Tarehe tajwa hapo juu.
Ngoja tuone uzinduzi huo wa kwanza Tanzania na wa aina yake
Mgeni Rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.