The road to sainthood Julius K. Nyerere

The road to sainthood Julius K. Nyerere

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,428
Reaction score
8,051
Nimeipenda hii video:

Hebu tujadili bila jazba: Je, ni kweli watu bado hawauoni hata muujiza mmoja wa Mwalimu Nyerere katika maisha yake?
Ningependa zaidi kama siasa za vyama na ukabila, utaifa na ukanda zingewekwa pembeni ila tu pale inapobidi!
 
Hivi jamani kweli kijana mdogo kama Zitto au Lissu angepewa nchi wakati ule wa giza asingegeuza mawe yakawa mikate kwa faida yake na familia yake?
 
Angalia jinsi mkatoliki huyu aliyebobea anavyojali haki za wapalestina dhidi ya watu, wayahudi, ambao kiiimani ni karibu zaidi kwake!!!!!!!!!!!!?
 
Sikubaliani Nyerere kuwa saint! Nyerere alikuwa mtawala/kiongozi wa serikali. Na by definition a government is an instrument of oppression. (Nilifundshwa hivyo na Prof Chamungwana-RIP) and this was true! He was the head of oppressive organ. Sasa utakatifu unatoka wapi? Alimuua Mwamwindi, alishindwa kuzuia hasira zake kama "mwanadamu". Kusamehe waliokukosea. Aliwaweka wengi kizuizini! Sasa huo utakatifu unatoka wapi?
ILA NAKUBALI: ALIKUWA NA QUALITIES NZURI KULINGANISHA NA WATAWALA WENGINE ANASTAHILI KUENZIWA SANA, KUITWA BABA WA TAIFA , LAKINI SI KUWA MTAKATIFU.
 
UMUOFIA KWENU! ........................!

CHUAKACHARA DO YOU KNOW ME? YOU DON'T KNOW ME.............!

NYERERE IS A SAINT, IF NOT A CATHOLIC ONE THEN AN AFRICAN ONE!
 
Kishimbe, mwanadamu akiamua anaweza kumpa hata Idd Ami Dada U- Saint; tena katika nchi za kiafrica, anything is possible!
Hukujibu hoja zangu lakini unatakamkulazimisha.
 
Sikubaliani Nyerere kuwa saint! Nyerere alikuwa mtawala/kiongozi wa serikali. Na by definition a government is an instrument of oppression. (Nilifundshwa hivyo na Prof Chamungwana-RIP) and this was true! He was the head of oppressive organ. Sasa utakatifu unatoka wapi? Alimuua Mwamwindi, alishindwa kuzuia hasira zake kama "mwanadamu". Kusamehe waliokukosea. Aliwaweka wengi kizuizini! Sasa huo utakatifu unatoka wapi?
ILA NAKUBALI: ALIKUWA NA QUALITIES NZURI KULINGANISHA NA WATAWALA WENGINE ANASTAHILI KUENZIWA SANA, KUITWA BABA WA TAIFA , LAKINI SI KUWA MTAKATIFU.
Pilipili usioila inakuwashia nini?
 
Kuna muujiza kidogo wa namba: alizaliwa 1922, akafariki dunia 1999 akiwa na umri wa miaka77. Pamoja na waasisi wengine alishiriki kukiasisi TANU 7/7/1954!
 
wewe lazima utakua KANSELA MKOBA kumbe hata uku huu ujinga wako wa namba unauleta huku peleka facebook asee

Samahani kama nimekosea, lakini nawewe unaweza kuchangia muujiza wako unaoujua kuhusu 'Mwalimu', na sio lazima uwe wa 'kichawichawi' bali matendo yaliyotukuka yasiyo ya kawaida kwa watu wa kawaida!
 
Kuna muujiza kidogo wa namba: alizaliwa 1922, akafariki dunia 1999 akiwa na umri wa miaka77. Pamoja na waasisi wengine alishiriki kukiasisi TANU 7/7/1954!
Sasa hizo namba zina uhusiano gani na miujiza na ye kuwa Mtakatifu?......hapa naona mizaha tu!!!
 
Namba 7 iliyojirudia mara mbili imejitokeza kuwa muhimu sana maishani mwake! Vilevile alizaliwa 1922 na kufariki dunia 1999, na alifanya 8/8 kila mwaka kuwa sikukuu ya wakulima ........... 'just trying to connect dots, and you can help! I STAND TO BE CORRECTED!

NB: Kuna miujiza mingi sana kwenye maisha ya 'Mwalimu', na wewe unaweza kuweka unayoona ina'qualify' zaidi!
 
Mimi naona hata kuunganisha Tanganyika na Zanzibar kuwa Tanzania ni muujiza ambao nchi nyingi zimeshindwa barani Afrika. Mfano Sudani imegawanyika na kupata sudani kaskazini na sudani kusini
 
Na Sudani ya kusini imekuwa mfano mzuri sana wa 'DHAMBI YA UBAGUZI' aliyokuwa anaiongelea Mwalimu!
 
img_20160912_122635-jpg.398752

Barua ya Mwalimu Nyerere kujiuzulu ualimu Pugu Sekondari, ili kushiriki siasa
 
Namba 7 iliyojirudia mara mbili imejitokeza kuwa muhimu sana maishani mwake! Vilevile alizaliwa 1922 na kufariki dunia 1999, na alifanya 8/8 kila mwaka kuwa sikukuu ya wakulima ........... 'just trying to connect dots, and you can help! I STAND TO BE CORRECTED!

NB: Kuna miujiza mingi sana kwenye maisha ya 'Mwalimu', na wewe unaweza kuweka unayoona ina'qualify' zaidi!
Yeye kama Nyerere alifanya mengi makubwa lakini si kufikia hatua ya kuwa Mtakatifu.....kuna unyama mwingi na mkubwa tu alioufanya kwa watu wake yakiwemo mauaji.....niaminivyo mimi ni kuwa Rais wa nchi yeyote zaidi zaidi Africa hawezi kuingia hata katika taratibi za kuwa mwenye heri kwa sababu hawa wanapokuwa madarakani huwa kama miungu watu na wengi wao huwa juu ya sheria tazama tu taswira ya marais karibu wote wa Africa,leo Nyerere aje kuwa Mtakatifu labda kanisa katoriki limpe tu utakatifu kwa jinsi alivyolisaidia kujipanua na kupata maeneo ya kutosha kuendesha shughuli zao bila kubughudhiwa.
Nionavyo mimi afadhali kidogo wenzetu weupe kidogo baadhi yao wanapokuwa marais huwa wana hofu ya Mungu na huwa wako chini ya sheria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom