Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,971
- 6,670
Not true. The ICC has not authorized or launched a formal investigation into the 2025 post-election killings yet.As it is now, nasikia ICC wamekwishamuita Rais Samia aende kule kujibu mashtaka. In fact, I understand wametuma barua ya pili kumkumbusha kwamba wanamsubiri kule.
Kaka mkubwa,this is news to me. Kanuni number moja ya kutumia international law to resolve issues za mambo ya ndani ya nchi ni wanatumia kanuni ya The exhaustion of local remedies, kwanza tukishindwa ndipo mabwana wakubwa wanaingia.As it is now, nasikia ICC wamekwishamuita Rais Samia aende kule kujibu mashtaka. In fact, I understand wametuma barua ya pili kumkumbusha kwamba wanamsubiri kule.
Mnatufidia maiti za vijana wetu?Mambo yote yanaweza kujadiliwa bila kupepesa macho: kama waliodhurika October 29 wanahitajia kufidiwa: kama waliodhurika October 29 wameweza kuwa identified;
Pascal Mayalla narudia kukwambia tena, wewe sio muhanga, hujapoteza mtoto wala ndugu.Kaka mkubwa,this is news to me. Kanuni number moja ya kutumia international law to resolve issues za mambo ya ndani ya nchi ni wanatumia kanuni ya The exhaustion of local remedies, kwanza tukishindwa ndipo mabwana wakubwa wanaingia. Baada ya Tume ya Jaji Chande, sasa tuna Tume ya Jaji Lila, na kwasababu police waliua watu kwa sporadic shoot out, hakuna mtu wa kutoa ushahidi wa kumtambua alimuona police gani akiua mtu gani, hivyo there will be no prosecution, hivyo tutaunda Tume nyingine ya Truth and Reconciliation, ya ukweli na mapatano, tutaombana misamaha, kupeana pole, tutashikana mikono kusameheana, wafiwa watalipwa kifuta machozi, wahanga watapewa mkono wa pole, tutayamaliza wenyewe. No need of ICC!
P
Kaka mkubwa,this is news to me. Kanuni number moja ya kutumia international law to resolve issues za mambo ya ndani ya nchi ni wanatumia kanuni ya The exhaustion of local remedies, kwanza tukishindwa ndipo mabwana wakubwa wanaingia.
Baada ya Tume ya Jaji Chande, sasa tuna Tume ya Jaji Lila, na kwasababu police waliua watu kwa sporadic random shooting, hakuna mtu wa kutoa ushahidi wa kumtambua alimuona police gani akiua mtu gani, hivyo there will be no prosecution, hivyo tutaunda Tume nyingine ya Truth and Reconciliation, ya ukweli na mapatano, tutaombana misamaha, kupeana pole, tutashikana mikono kusameheana, wafiwa watalipwa kifuta machozi, wahanga watapewa mkono wa pole, tutayamaliza wenyewe. No need of ICC!
P
Mkuu TAJIRI MKUU WA MATAJIRI ,kwanza pole sana kwa madhila ya October 29, nakushauri toa ushirikiano Tume ya Jaji Lila.Pascal Mayalla narudia kukwambia tena, wewe sio muhanga, hujapoteza mtoto wala ndugu.
Kuna uzi hapa nilikwambia kwamba nimepoteza vijana wangu wawili wadogo. Ni watoto wa primary school, walitoka saa sita mchana kwenda dukani kununua chama na juice, wakaishia kupigwa risasi na kufa.
Nitalipwa nini nifarijike? Nyie mnacheza na damu za watu kwasababu sio wahanga ndio maana mnakuja na lugha za kitapeli, eti mtupe Pole.
Kuna siku na sisi tutapata nafasi ya kushika hizo bunduki, msidhani kama machawa mtakuwa salama
Hiyo tume iliyoundwa na aliyeamuru mauaji yafanyike ina msaada gani kwa wafiwa na wahanga?Mkuu TAJIRI MKUU WA MATAJIRI ,kwanza pole sana kwa madhila ya October 29, nakushauri toa ushirikiano Tume ya Jaji Lila.
Kosa langu kubwa humu ni kuwa mkweli too much,kuna ushauri nilishauri humu hata kabla ya October 29
P
Mkuu TAJIRI MKUU WA MATAJIRI ,kwanza pole sana kwa madhila ya October 29, nakushauri toa ushirikiano Tume ya Jaji Lila.
Kosa langu kubwa humu ni kuwa mkweli too much,kuna ushauri nilishauri humu hata kabla ya October 29
P
Kumbuka msemo wa kisiasa ucheleweshaji wa Shauri ni unyimwaji wa HakiKaka mkubwa,this is news to me. Kanuni number moja ya kutumia international law to resolve issues za mambo ya ndani ya nchi ni wanatumia kanuni ya The exhaustion of local remedies, kwanza tukishindwa ndipo mabwana wakubwa wanaingia.
Baada ya Tume ya Jaji Chande, sasa tuna Tume ya Jaji Lila, na kwasababu police waliua watu kwa sporadic random shooting, hakuna mtu wa kutoa ushahidi wa kumtambua alimuona police gani akiua mtu gani, hivyo there will be no prosecution, hivyo tutaunda Tume nyingine ya Truth and Reconciliation, ya ukweli na mapatano, tutaombana misamaha, kupeana pole, tutashikana mikono kusameheana, wafiwa watalipwa kifuta machozi, wahanga watapewa mkono wa pole, tutayamaliza wenyewe. No need of ICC!
P
Mungu akutie nguvu mkuuPascal Mayalla narudia kukwambia tena, wewe sio muhanga, hujapoteza mtoto wala ndugu.
Kuna uzi hapa nilikwambia kwamba nimepoteza vijana wangu wawili wadogo. Ni watoto wa primary school, walitoka saa sita mchana kwenda dukani kununua chama na juice, wakaishia kupigwa risasi na kufa.
Nitalipwa nini nifarijike? Nyie mnacheza na damu za watu kwasababu sio wahanga ndio maana mnakuja na lugha za kitapeli, eti mtupe Pole.
Kuna siku na sisi tutapata nafasi ya kushika hizo bunduki, msidhani kama machawa mtakuwa salama
Pole sana jamani...yale yalikua ma mbwa sio binadamu wa kawaida kuuwa watoto...Pascal Mayalla narudia kukwambia tena, wewe sio muhanga, hujapoteza mtoto wala ndugu.
Kuna uzi hapa nilikwambia kwamba nimepoteza vijana wangu wawili wadogo. Ni watoto wa primary school, walitoka saa sita mchana kwenda dukani kununua chama na juice, wakaishia kupigwa risasi na kufa.
Nitalipwa nini nifarijike? Nyie mnacheza na damu za watu kwasababu sio wahanga ndio maana mnakuja na lugha za kitapeli, eti mtupe Pole.
Kuna siku na sisi tutapata nafasi ya kushika hizo bunduki, msidhani kama machawa mtakuwa salama
Hakuna tume wala timu hapo. Hizo ni siasa na saraakasi tu kukwepa uwajibikaji wa uhalifu.Mkuu TAJIRI MKUU WA MATAJIRI ,kwanza pole sana kwa madhila ya October 29, nakushauri toa ushirikiano Tume ya Jaji Lila.
Kosa langu kubwa humu ni kuwa mkweli too much,kuna ushauri nilishauri humu hata kabla ya October 29
P
Machawa hawaelewi inaumiza kwa kiasi ganiPole sana jamani...yale yalikua ma mbwa sio binadamu wa kawaida kuuwa watoto...