THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,547
- 7,530
Rest in peace mwamba sauli
December 2018 Chuma zake za Kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha Na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya Kwa Ajili Ya Utambulisho
gosti 2019
Sauli Aliongeza Basi lake la Tatu Kutoka Scania Kwa Mara Nyingine Lenye Namba Ya Usajili T300 DRH Dereva Aliyekabithiwa Alikuwa na GoodLuck Mwinuka Maarufu
kama Mbeya Boy
May 2020
Sauli Alirudi Tena Scania Tanzania Limited Kuinunua Gari Yake Ya 4 Scania Gemilang Yenye Namba za Usajili T668 DTF
Maarufu Kama Mjeshi Yaan Konde Boy Mjeshi
Vyuma Vilikuwa Maarufu Kwa Majina Yake Utani
Sauli Benz - ESCAPE PLAN
Sauli DPN - IACHE IENDE
Sauli DRH - MBEYA BOY
Sauli DTF - MJESHI
Kama Ilivyokawaida Yake Mkurugenzi Alikuwa Ni Mkeleketwa Wa SCANIA
Akaenda Tena Kununua Scania 3 Zingine
Marcopolo G7 DXE
Scania Gemilang DWL
Scania GEMILANG DWF
Akaanza na Ruti Mpya Ya Dar - Tunduma
R.I.P SAULI 🙏
😂Kwenye vyama vya siasa huu unaitwa uchawa
Tuliza kishudu hichoKwenye vyama vya siasa huu unaitwa uchawa
Kwa namna hii tutachangia kweli 🤔Tuliza kishudu hicho
Tuliza kishudu hicho
Mkuu Nina hasira Leo afu uyu bwabwa anakuja na habari zake za siasa anaona Mimi nimeandika ccm au chadema hapaKwa namna hii tutachangia kweli 🤔
Wanathimba tulieni emMkuu Nina hasira Leo afu uyu bwabwa anakuja na habari zake za siasa anaona Mimi nimeandika ccm au chadema hapa
Nikupe mke kama mwijakuHapana mkuu, ila si kwa mahaba hayo ndugu
Kwani kwenye mabasi mnaita je? Kwa maana uliyoandika hapa labda hata marehemu mengine hakuyajua?Mkuu Nina hasira Leo afu uyu bwabwa anakuja na habari zake za siasa anaona Mimi nimeandika ccm au chadema hapa
Nikupe mke kama mwijaku
Yeye ndo alisema yaandikwe hivoKwani kwenye mabasi mnaita je? Kwa maana uliyoandika hapa labda hata marehemu mengine hakuyajua?
Yeye ndo alisema yaandikwe hivo
Huyo atakiwa mtu wake wa karibu sana kama sio agent wake😁Kwenye vyama vya siasa huu unaitwa uchawa
mabwabwa...Mkuu Nina hasira Leo afu uyu bwabwa anakuja na habari zake za siasa anaona Mimi nimeandika ccm au chadema hapa