The Rise and Fall of Pinda Mizengo Peter

1. Mizengo Pinda ni Nani?

Ocampo four na Pinda ninayemjua…….

Mizengo Pinda ni kiongozi aliyejipatia umaarufu kwa kujiita mtoto wa mkulima, ambaye kwa sasa ni wazi kageuka kuwa mpiga dili mkubwa wa mjini. Baada ya kuona biashara yake ya awali ya kufuga nyuki hailipi ni wazi sasa amegeukia dili kubwa kubwa kama za IPTL/ESCROW. Pinda ni mwenyeji wa mkoa wa Katavi, na ni mhitimu wa shahada ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam 1974. Pinda amepata kuwa msaidizi wa Rais kuanzia 1982 hadi 1992 na baadaye kuwa karani wa Baraza la Mawaziri mwaka 1996-2000 na kisha aligombea jimbo la Mpanda 2000 na kupata ushindi.

Sifa kubwa na ya pekee ya Pinda ni UDHAIFU na kwa kweli kajizoolea umaarufu kwa hii sifa ya udhaifu mpaka mitaani kabatizwa jina la Mzee wa “kulia lia”. Huitaji kuwa na akili nyingi au uwe Professor kugundua ya kwamba Pinda ni dhaifu, na udhaifu wake haukuanza leo, amekuwa akishindwa mara kadhaa kuchukua hatua hata katika jambo linalogusa maslahi ya Umma moja kwa mmoja na kwa ujumla wake.

Ni Pinda huyu huyu katika kipindi chake tumeshuhudia kushamiri kwa baa la njaa, mgao wa umeme usio na kikomo, mara zote kukwama kwa bajeti za wizara ndani ya Bunge, kutokea kwa operation tokomeza binadamu (badala ya operation tokomeza majangili), mara zote amekuwa akishindwa kuchukua maamuzi magumu kwa watumishi wazembe na wa ovyo ovyo hasa wakurugenzi wa wilaya kisa tu wanamchangia katika kampeni zake kupitia ile akaunti ya NYAU, tumeshuhudia mauhaji ya wakulima na wafugaji yakizidi, tumeshuhudia kipindi ambacho serikali inalia, wananchi wanalia, wahisani wanalia, wadau wa maendeleo nao pia wanalia.

2. Mizengo na ESCROW Saga
Pamoja na udhaifu wake, kulia lia kwake ni jambo la wazi kwamba swala la ESCROW ndiyo mwisho wa Pinda (The fall of Pinda). Ni vigumu sana kumtenganisha Pinda na swala la ESCROW. Pinda kama mtendaji mkuu alikuwa anajua mchakato mzima wa uhamishaji wa fedha hizo katika akaunti ya Tegeta ESCROW, na kama halikuwa hajui basi tunazidi kuamini kuwa udhaifu wake umemfanya tena asiweze kugundua jambo linalogusa maslahi ya umma kama hilo, na mbaya zaidi alidiriki kudanganya wananchi tena kupitia chombo tukufu la Bunge ya kwamba fedha za ESCROW siyo fedha za umma wakati ripoti ya CAG limethibitisha pasipo shaka ya kwamba fedha hizo ni za umma.

Mitaani kuna minongono ya kwamba fedha hizo za ESCROW zinatumika katika kampeni za kumsaidia Pinda, na hata wachangiaji wakubwa wa kampeni hizo ni wahusika wenzake katika swala la ESCROW ambao nio bwana Muhongo na katibu wake M aswi. Kampeni meneja wa Pinda Bwana Masaburi Didas, amekuwa akiwezeshwa sana na hilo kundi ambapo kwa mwezi kapangiwa kupewa bajeti ya Million 460 kwa ajili ya kufanya operations. Ocampo four nimeshuhudia mara mbili fedha zikiingizwa katika akaunti ya Masaburi Namba 01j0045743161 (Hizo code mtajua ni Bank gani) tarehe 16/8/2014 na tarehe 23/10/2014 muwekaji akiwa kijana wa Maswi anayejulikana kwa jina la Mole.

Sakata hili la ESCROW limepelekea wahisani na wadau wa maendeleo kukata misaada ya fedha ambayo tafsiri yake ni kwamba mipango yote ya bajeti mwaka 2014/2015 itakwama kwa zaidi ya asilimia 75%. Ndiyo maana leo hii hakuna dawa katika hospitali zetu, watumishi tokea mwezi wa tisa hawajalipwa, wabunge wiki ya tatu hawajalipwa posho, wahandisi wanadai fedha nyingi sana na wengine wametoka site, huduma za msingi kama maji, elimu, umeme zinayumba, hakuna fedha za kulipa MSD, walimu wanakatwa fedha za kujenga maabara (wakati fedha za ESCROW zingeweza kujenga maabara kila kijiji, nchi nzima). Wahisani wamezidi kusisitiza kamwe hawatalegeza msimamo mpaka waone hatua zikichukuliwa naomba kunukuu “There is no new development on this issue, so there is no change to our answers and stand” Donor spokesperson Sinnika Antila..

NB: Pinda kweli kama unapenda wananchi na kama una huruma na watoto wa wakulima tafadhali sana chukua hatua na hatua bora kwako kwa sasa ni kujiuzulu, tayari ushachafuka na kamwe huwezi kusafishika machoni mwa watanzania.

Mytake: Ni wazi Pinda kalemewa, kashfa hii ya IPTL imemtikisa, hana pa kutokea, maana yuko kwenye wakati mgumu sana, yuko kwenye hati hati, ufisadi unazidi kutamalaki, na hata katika kashfa ya ujenzi wa bomba la gesi toka Mtwara kwenda Dar es Salaam ambayo imevunja rekodi ya ufisadi amekuwa akitajwa tajwa…….. Pinda muda ndiyo huu, hakuna muda mwingine tena wa kujiuzulu…..

Asante
Ocampo four

Ocampo four maelezo yako kwa asilimia zote ni sahihi na ukweli na wengi wanaelewa hivyo. Tatizo ni kuwa hayo unayoyapendekeza hayawezi kukubaliwa hata kutekelezwa na uongozi uliopo madarakani. Kule kujadiliwa tu bungeni bado ni kazi kubwa. Ni vigumu jambo liibuliwe na upinzani utegemee ccm wachukue hatua. Wenzako wameshawahi mahakama kuu eti waandikie uongozi wa bunge kuwa kujadili bungeni suala la escrow ni kuvunja sheria kwani sualq hilo lipo mahakamani. Nashindwa kuelewa ni madai yapi yaliyopo mahakamani wakati hata kesi iliyofunguliwa na tanesco dhidi ya Iptl mahakama ya kimataifa juu ya escrow uamuzi ulishatoka na tanesco kupata ushindi. Pia upo mpango wa kuahirisha bunge kabla ya tar.26/11 kwa maelezo kuwa fungu la kuwalipa posho limeisha. Yaani zitatumika mbinu chafu kufifisha suala hili na mwisho litaishia hewani. Wao wakubwa walishachukua migao yao hasara kwa wananchi kwani misaada ya nchi wahisani itaendelea kushikiliwa na budget kukwama.
 
Mkuu mleta mada pole sana kwa kutumika na kuleta hoja potofu kwa jamii,Naomba uweke ushahidi wa hayo yote unayosema vinginevyo itakuwa ni porojo tu bila shaka unatumiwa na mafisadi kuchafua wale ambao mnaona ni kikwazo kwenye mbio zenu za urais kuelekea 2015 rekodi ya posts zako zinadhihirisha hilo umemchafua sana Membe siku za nyuma na sasa umeanza kumchafua Pinda unatumika sana kupita kiasi lakini kaa ukijua mbinu zenu chafu hazitafanikiwa siku zote mungu husimama na wenye haki.
Kama kusoma hujui hata picha mkuu, ushahidi gani unautaka? na wewe toa ushahidi kuwa Ocampo amekuwa akitumiwa na Lowassa na jinsi alivyomchafua Membe na sasa Pinda.......kama swala la ESCROW halikuumi ni wewe ila sisi watoto wa masikini we know the pitch ndugu zetu wanavyokosa dawa kule vijijini.....
 
Lizaboni, Chabruma, Hotlady, Galiya, Kuluvia, Simiyu yetu tafadhalini sana wambiieni mabosi wenu hao warudishe fedha za ESCROW.......Kiasi nyingine ya fedha zimenunua Helcopter mukampa Diallo kuzungukia kumpigia Pinda kampeni baada ya kuona Membe kumuuza ni ndoto
 
Juzi waimpa Diallo kiasi cha fedha ili aweze kununua helcopter atakayotumia Pinda na Membe kwenye kampeni, mafisadi wakubwa sana hawa......na juzi na jana walianza ziara Geita.........kwa kweli Pinda must Gooooooooo
 
Ocampo Four...mpambe wa Lowassa toka Pinda atangaze kuutaka urais umekuwa busy sana na Pinda.

Pinda sio mwizi kama Lowassa, atleast kwa hilo hawalingani, ni kama mbingu na nchi.

Na kama uadilifu utakuwa kigezo cha CCM kuteua mgombea wake wa urais, basi Lowassa ata form alipaswa asipewe.
Mafisadi wa ESCROW imekula kwenu this time........Pinda Must Goooooo
 
Mizengo Pinda ni kiongozi aliyejipatia umaarufu kwa kujiita mtoto wa mkulima
Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima, ndio, lakini ni nani katika generation ya Pinda sio mtoto wa Mkulima?

Mbona viongozi wote waliowahi kui repu nchi hii ni watoto wa wakulima na wavua samaki na wanavijiji?

I mean, kwa nini iwe sifa kwa Pinda kusema yeye ni mtoto wa mkulima, hivi kwa nini Watanzania tunachotwa kizembe zembe namna hii na sifa za ajabu ajabu kama hizi?
 
1. Mizengo Pinda ni Nani?

Ocampo four na Pinda ninayemjua…….

Mizengo Pinda ni kiongozi aliyejipatia umaarufu kwa kujiita mtoto wa mkulima, ambaye kwa sasa ni wazi kageuka kuwa mpiga dili mkubwa wa mjini. Baada ya kuona biashara yake ya awali ya kufuga nyuki hailipi ni wazi sasa amegeukia dili kubwa kubwa kama za IPTL/ESCROW. Pinda ni mwenyeji wa mkoa wa Katavi, na ni mhitimu wa shahada ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam 1974. Pinda amepata kuwa msaidizi wa Rais kuanzia 1982 hadi 1992 na baadaye kuwa karani wa Baraza la Mawaziri mwaka 1996-2000 na kisha aligombea jimbo la Mpanda 2000 na kupata ushindi.

Sifa kubwa na ya pekee ya Pinda ni UDHAIFU na kwa kweli kajizoolea umaarufu kwa hii sifa ya udhaifu mpaka mitaani kabatizwa jina la Mzee wa “kulia lia”. Huitaji kuwa na akili nyingi au uwe Professor kugundua ya kwamba Pinda ni dhaifu, na udhaifu wake haukuanza leo, amekuwa akishindwa mara kadhaa kuchukua hatua hata katika jambo linalogusa maslahi ya Umma moja kwa mmoja na kwa ujumla wake.

Ni Pinda huyu huyu katika kipindi chake tumeshuhudia kushamiri kwa baa la njaa, mgao wa umeme usio na kikomo, mara zote kukwama kwa bajeti za wizara ndani ya Bunge, kutokea kwa operation tokomeza binadamu (badala ya operation tokomeza majangili), mara zote amekuwa akishindwa kuchukua maamuzi magumu kwa watumishi wazembe na wa ovyo ovyo hasa wakurugenzi wa wilaya kisa tu wanamchangia katika kampeni zake kupitia ile akaunti ya NYAU, tumeshuhudia mauhaji ya wakulima na wafugaji yakizidi, tumeshuhudia kipindi ambacho serikali inalia, wananchi wanalia, wahisani wanalia, wadau wa maendeleo nao pia wanalia.

2. Mizengo na ESCROW Saga
Pamoja na udhaifu wake, kulia lia kwake ni jambo la wazi kwamba swala la ESCROW ndiyo mwisho wa Pinda (The fall of Pinda). Ni vigumu sana kumtenganisha Pinda na swala la ESCROW. Pinda kama mtendaji mkuu alikuwa anajua mchakato mzima wa uhamishaji wa fedha hizo katika akaunti ya Tegeta ESCROW, na kama halikuwa hajui basi tunazidi kuamini kuwa udhaifu wake umemfanya tena asiweze kugundua jambo linalogusa maslahi ya umma kama hilo, na mbaya zaidi alidiriki kudanganya wananchi tena kupitia chombo tukufu la Bunge ya kwamba fedha za ESCROW siyo fedha za umma wakati ripoti ya CAG limethibitisha pasipo shaka ya kwamba fedha hizo ni za umma.

Mitaani kuna minongono ya kwamba fedha hizo za ESCROW zinatumika katika kampeni za kumsaidia Pinda, na hata wachangiaji wakubwa wa kampeni hizo ni wahusika wenzake katika swala la ESCROW ambao nio bwana Muhongo na katibu wake M aswi. Kampeni meneja wa Pinda Bwana Masaburi Didas, amekuwa akiwezeshwa sana na hilo kundi ambapo kwa mwezi kapangiwa kupewa bajeti ya Million 460 kwa ajili ya kufanya operations. Ocampo four nimeshuhudia mara mbili fedha zikiingizwa katika akaunti ya Masaburi Namba 01j0045743161 (Hizo code mtajua ni Bank gani) tarehe 16/8/2014 na tarehe 23/10/2014 muwekaji akiwa kijana wa Maswi anayejulikana kwa jina la Mole.

Sakata hili la ESCROW limepelekea wahisani na wadau wa maendeleo kukata misaada ya fedha ambayo tafsiri yake ni kwamba mipango yote ya bajeti mwaka 2014/2015 itakwama kwa zaidi ya asilimia 75%. Ndiyo maana leo hii hakuna dawa katika hospitali zetu, watumishi tokea mwezi wa tisa hawajalipwa, wabunge wiki ya tatu hawajalipwa posho, wahandisi wanadai fedha nyingi sana na wengine wametoka site, huduma za msingi kama maji, elimu, umeme zinayumba, hakuna fedha za kulipa MSD, walimu wanakatwa fedha za kujenga maabara (wakati fedha za ESCROW zingeweza kujenga maabara kila kijiji, nchi nzima). Wahisani wamezidi kusisitiza kamwe hawatalegeza msimamo mpaka waone hatua zikichukuliwa naomba kunukuu “There is no new development on this issue, so there is no change to our answers and stand” Donor spokesperson Sinnika Antila..

NB: Pinda kweli kama unapenda wananchi na kama una huruma na watoto wa wakulima tafadhali sana chukua hatua na hatua bora kwako kwa sasa ni kujiuzulu, tayari ushachafuka na kamwe huwezi kusafishika machoni mwa watanzania.

Mytake: Ni wazi Pinda kalemewa, kashfa hii ya IPTL imemtikisa, hana pa kutokea, maana yuko kwenye wakati mgumu sana, yuko kwenye hati hati, ufisadi unazidi kutamalaki, na hata katika kashfa ya ujenzi wa bomba la gesi toka Mtwara kwenda Dar es Salaam ambayo imevunja rekodi ya ufisadi amekuwa akitajwa tajwa…….. Pinda muda ndiyo huu, hakuna muda mwingine tena wa kujiuzulu…..

Asante
Ocampo four
Ile tuzo waliyompa Mengi juzi ilistahili apewe Kafulila (mbunge). Kafulila popote ulipo nasema wazi ya kwamba wewe ndiyo shujaa wa 2014, umekomaa mpaka leo hii tumeshuhudia serikali yote imehusika na hili swala la ESCROW mpaka watoto wa Rais, kweli hii nchi ni shamba la bibi
 
Mafisadi wa ESCROW imekula kwenu this time........Pinda Must Goooooo
Pinda, Maswi, Ndulu, Muhongo, Membe, Tibaijuka, Miraji Kikwete hawana pa kutokea katika hili na lazima hatua zichukuliwe ili roho zetu watanzia ziweze kutulia, madawa hakuna, wake zetu (waalimu) wanakatwa ela za mahabara, nchi haiendi kisa ESCROW.........Action must be taken
 
Ocampo four maelezo yako kwa asilimia zote ni sahihi na ukweli na wengi wanaelewa hivyo. Tatizo ni kuwa hayo unayoyapendekeza hayawezi kukubaliwa hata kutekelezwa na uongozi uliopo madarakani. Kule kujadiliwa tu bungeni bado ni kazi kubwa. Ni vigumu jambo liibuliwe na upinzani utegemee ccm wachukue hatua. Wenzako wameshawahi mahakama kuu eti waandikie uongozi wa bunge kuwa kujadili bungeni suala la escrow ni kuvunja sheria kwani sualq hilo lipo mahakamani. Nashindwa kuelewa ni madai yapi yaliyopo mahakamani wakati hata kesi iliyofunguliwa na tanesco dhidi ya Iptl mahakama ya kimataifa juu ya escrow uamuzi ulishatoka na tanesco kupata ushindi. Pia upo mpango wa kuahirisha bunge kabla ya tar.26/11 kwa maelezo kuwa fungu la kuwalipa posho limeisha. Yaani zitatumika mbinu chafu kufifisha suala hili na mwisho litaishia hewani. Wao wakubwa walishachukua migao yao hasara kwa wananchi kwani misaada ya nchi wahisani itaendelea kushikiliwa na budget kukwama.
Umenena vyema mkuu, pamoja na hizo jitihada za kulikwamisha jambo hilo kujadiliwa ila nguvu ya umma tukikomaa lazima serikali itarudi nyuma, na uzuri wahisani wameshalivalia njuga hili jambo, kwaiyo lazima tuzidi kukomaa mkuu wala tusirudi nyuma, kuna taarifa saizi wako Dodoma wanagawa fedha kwa wabunge kama njugu....
 
Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima, ndio, lakini ni nani katika generation ya Pinda sio mtoto wa Mkulima?

Mbona viongozi wote waliowahi kui repu nchi hii ni watoto wa wakulima na wavua samaki na wanavijiji?

I mean, kwa nini iwe sifa kwa Pinda kusema yeye ni mtoto wa mkulima, hivi kwa nini Watanzania tunachotwa kizembe zembe namna hii na sifa za ajabu ajabu kama hizi?
Mtoto wa mkulima aliyegeuka kuwa mission town mkubwa.........
 
Lizaboni, Chabruma, Hotlady, Galiya, Kuluvia, Simiyu yetu tafadhalini sana wambiieni mabosi wenu hao warudishe fedha za ESCROW.......Kiasi nyingine ya fedha zimenunua Helcopter mukampa Diallo kuzungukia kumpigia Pinda kampeni baada ya kuona Membe kumuuza ni ndoto
Hao walikuwa wachumia tumbo kwa Membe, baada ya kuona kumuuza Membe ni sawa sawa na kutaka kubeba trekta sasa wamehamia kambi ya Pinda ili wale vizuri ela la ESCROW.....Chabruma alikuwa hana hata Gari juzi juiz nilimuona Mlimani city na Benz mpya iliyonunuliwa na fedha za laana za ufisadi wa ESCROW...
 
Du kweli fedha za ESCROW ni tamuuuu, from miguu to benz. mkuu ebu na mimi niunganishe japo nipate hata vits...
 
Pinda hajawahi kuwa Rise ata siku moja kwanza ilo itambulike then pia tujue kuwa Tz aijawahi kuwa na PM kama huyu hakika ni mzigo kwa nchi yetu.
 
Du kweli fedha za ESCROW ni tamuuuu, from miguu to benz. mkuu ebu na mimi niunganishe japo nipate hata vits...
Ni rahisi sana, mtafute Masaburi, jamaa moja anaitwa Mbo.go, Yule aliyempiga kofi Mzee Warioba, na huyo Mole trust me walai ndani ya siku 3 lazima upate vits....
 
Masaburi kashanyanganywa ukampeni meneja, baada ya Pinda kukataliwa kuwa Naibu Kamanda wa UVCCM timu hiyo ilimnyanganywa Masaburi u meneja (million 400 zilitumika bila mafanikio)........saizi mambo yote anaratibu mke wa Pinda mama Tunu na Sara Msafiri.
 
Millioni 400 zilitumika then majibu 000000000000......walai Pinda must Gooooooo
 
Back
Top Bottom