The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Mkuu nfikiri hujamuelewa.
Ndio maana katoa mifano kuwa wapo maprince wa UAE lakini hawatajwi Forbes
Na kuna mahala kaandika yupo rafiki zake putin wenye utajiri mkubwa zaidi yake lakini hawatajwi.

Nafikiri kuna anacholenga kuhusiana na huo utajiri anaouzungumzia,Ni vyema akamaliza mada Halafu tumkosoe vizuri
 
Sawa mkuu ngoja tusubiri
 
Naaam! Hii ndio busara na hikma... unasoma kwanza kisha unakosoa. Sasa ndugu yetu anakosoa ingali hata andiko lenyewe halijaletwa bado. Ni ajabu kweli kweli.
Ndiyo changamoto ya baadhi ya wenzetu kwenye jamii zetu. Ni busara tu kuwachukulia hivyo hivyo walivyo na kukubaliana nao.
 
FIY Putin ana utajiri kumshinda Gates..

Leta source ya data zako, Gate haingizi zaidi ya 300-500$ kwa sekunde
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…