Hilo nalo neno... manake kv mie nimeziangalia sana hizi, hadi nikalemazwa na subtitles to the point hata kama naangalia movie/series kwenye TV, nikipitwa na kitu nakimbilia remote na "ku-rewind" kabla ya kushituka kwamba it's TV!kazi zaidi ni kufatilia kwa kuyasoma yale maandishi, mda mwingine hata picha huoni unaangalia maandishi tu na yakikupita tu lazima urudishe nyuma sasa ndo mambo gn haya
Panga zote lkn 24hrs ni No 1 halafu PB ndio LostThe best series nilizoona
- 24 hrs
- Prison break
- Lost
- One Tree Hill
- The Unit
- Hawaii 5-o
- Covert Affair
- Nikita
- Heroes
- Revolution
- Crisis
- Blacklist
- Scanda
Na zingine mingi...
Im dying waiting for Homeland Season 4 though am still mourning the death of Sargent Brody...fu'ck CIA, ---- Senator Lockhart.
Ngumu kutabiri hasa ukizingatia Langley Key Staffs wamesambaratishwa huku na huko!!! Hata hivyo, am afraid Majid Javadi lazima awageuke CIA hasa ukizingatia Lockhart's ambition ya kui-control Iran... now with full power from IRGC, and probably, presidential office, Majid can do anything against CIA and US as a whole. Na since, Senator Lockhart ambae ni new CIA Director, was not happy with Carrie Mathison and Saul... Majid atakavyowageuka CIA ndipo Senator Lockhart atakapokuja kugundua umuhimu wa Carrie... by that time, with her kid... sipati picha itakuwaje... ni kama namuona mtoto wa Carrie akiwa kidnapped na Majid's men na kuwa kama bargaining chip... it's hard to tell but time will display everything out!dah hata me ckutegemea aisee,,,kila nikisubiri labda hakufa lakini wapi, hapo ndipo ambapo tunakosa kupata picha ya Season 4 itakuwaje
hivi Tony amelda...bado yupo vileee kma nimesahauuu hebu nikumbusheni maana mwishoni jack aliokoka kutokana na president mama allyson tyalor kujikubali kuwa amekosa
then akampa option ya kukimbia....na kumwambia hatokomee .....!
can't wait....plzzzzzzz
see u there.....kickas.com with ma U-TORRENT.....guess wat next .... Downloading
The best series nilizoona
Prison break
24
Lost
One Tree Hill
The Unit
Hawaii 5-o
Covert Affair
Nikita
Heroes
Revolution
Crisis
Blacklist
Scanda
Na zingine mingi...
Almeida mara ya mwisho alionekana season 7,nadhani walimpeleka Guantanamo kabisaa baada ya kuwa mshe.nzi, probably watamrudisha,he was a badass pia,keshooo mwendo wa torrent
Hakunaga kama Lost..
Hakunaga kama prison break
My name is jack bauer, I'm a federal agent of CTU. "I say put your gun down"!
In jack's tone.
hivi Tony amelda...bado yupo vileee kma nimesahauuu hebu nikumbusheni maana mwishoni jack aliokoka kutokana na president mama allyson tyalor kujikubali kuwa amekosa
then akampa option ya kukimbia....na kumwambia hatokomee .....!
can't wait....plzzzzzzz
see u there.....kickas.com with ma U-TORRENT.....guess wat next .... Downloading
Almeida mara ya mwisho alionekana season 7,nadhani walimpeleka Guantanamo kabisaa baada ya kuwa mshe.nzi, probably watamrudisha,he was a badass pia,keshooo mwendo wa torrent
Naipenda sana 24 sijui lini itafika huku kwetu
jack alipata kumuamini sn huyu mtu sema ndo akazingua,,,,Tony Ameilda alikuwa akifanya yote ili aweze kupata uaminifu kwa yule jamaa Wilson aweze kupata nafasi ya kuonana nae, ili apate nafas ya kumuua kulipiza kisasi cha Wilson kumuua mkwe wa tony(Michelle)
Masaa yanapungua tu, tukutane http://kickass.to/