Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live another day itakuwa hewani kuanzia siku ya Jumanne hii tar 06/05/2015. Series hii itaanzia miaka minne baada ya ile season 8.
Kama mnakumbuka vizuri Jack alilazimika kuikimbia nchi yake akiogopa kukamatwa na Warusi na Wamarekani wenyewe, huku akimwomba rafiki yake kipenzi Chloe amtunzie binti yake.
Je ni kwamba atafanikiwa kuteka soko la filamu kama mwanzo, basi tuungane nae tuone nn kitafuata...............
hakunaga kama saa 24....
Hakunaga kama prison break
Naunga mkono hoja.Watu wameandika sana kwenye prison break.24 is business as usual,stori haina ubunifu mpya mengi ni yaleyale yaliyopo kwenye Scandal,XIII na series zingine zenye maudhui ya namna hiyo
Hakunaga kama Lost..
Mkuu, Wakorea wana taste za aina yote... look, hamna majambia na mapanga kwenye IRIS, Athena, City Hunter and many more... to be honest, hata mimi cipend series za kukatana mapanga...Binafsi, wanachoniboa Wakorea, ambacho pia ni inevitable ni majina yao... unakuta unaangalia series huku ukijitahidi ku-memorize majina lakini unamalizia episode ya mwisho, majina yote umesahau! Thanx to Lobbyst, hawa bila shaka walifahamu majina yao kwenye international entertainment area ni tatizo, so wakajipa majina ya kizungu!!!Huyu jamaa nilikuwa nasubiri kwa hamu kubwa maana hayo mambo ya wakolea me cyawezi kabisa mishale tu na mapanga
The best series nilizoona
Prison break
24
Lost
One Tree Hill
The Unit
Hawaii 5-o
Covert Affair
Nikita
Heroes
Revolution
Crisis
Blacklist
Scanda
Na zingine mingi...
Wakati naisuburia hii mpya, namalizia kuangalia season 8 kwa mara ya pili, kwangu mimi katika series zote sijaona kama 24.
Hakunaga kama Lost..
Mkuu, Wakorea wana taste za aina yote... look, hamna majambia na mapanga kwenye IRIS, Athena, City Hunter and many more... to be honest, hata mimi cipend series za kukatana mapanga...Binafsi, wanachoniboa Wakorea, ambacho pia ni inevitable ni majina yao... unakuta unaangalia series huku ukijitahidi ku-memorize majina lakini unamalizia episode ya mwisho, majina yote umesahau! Thanx to Lobbyst, hawa bila shaka walifahamu majina yao kwenye international entertainment area ni tatizo, so wakajipa majina ya kizungu!!!
Im dying waiting for Homeland Season 4 though am still mourning the death of Sargent Brody...fu'ck CIA, ---- Senator Lockhart.Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live another day itakuwa hewani kuanzia siku ya Jumanne hii tar 06/05/2015. Series hii itaanzia miaka minne baada ya ile season 8.
Kama mnakumbuka vizuri Jack alilazimika kuikimbia nchi yake akiogopa kukamatwa na Warusi na Wamarekani wenyewe, huku akimwomba rafiki yake kipenzi Chloe amtunzie binti yake.
Je ni kwamba atafanikiwa kuteka soko la filamu kama mwanzo, basi tuungane nae tuone nn kitafuata...........
Lost ni bonge la series, sema Flash Forward zimekuwa nyingi mno... kwenye particular episode, unaweza kuta zaidi ya robo saa imetawaliwa na flash back na flash forward.Lost ni kali pia mkuu, ila kuna sehemu ilifika ikanivuruga kabisa