The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

chitalula

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
1,302
Reaction score
415
Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live another day itakuwa hewani kuanzia siku ya Jumanne hii tar 06/05/2015. Series hii itaanzia miaka minne baada ya ile season 8. Itakuwa na episode 12 tu
Kama mnakumbuka vizuri Jack alilazimika kuikimbia nchi yake akiogopa kukamatwa na Warusi na Wamarekani wenyewe, huku akimwomba rafiki yake kipenzi Chloe amtunzie binti yake.
Je ni kwamba atafanikiwa kuteka soko la filamu kama mwanzo, basi tuungane nae tuone nn kitafuata...............
24-Live-Another-Day-Cover-612x400.jpg 24_live_another_day_poster_crop.jpg View attachment 155838 Mary-Lynn-Rajskub-24-Live-Another-Day-Cast-Promotional-Photo-767x1024.jpg

Updates:
episode 1 na 2 ziko tayari kwa uhakika zichek kickass.to,
Kwa mujibu wa http://www.televisionseries.org/24-Live-Another-Day ni kuwa episode 3 pia inatoka leo ila bado haijawekwa kickass.to mpaka sasa

updates:
S09E03 confirmed premier date 12/05/2014
https://www.youtube.com/watch?v=he6nHS2m2o0
http://findvideo.biz/show/24:_Live_Another_Day/9

updates:
season 9 premier dates:
Episode #3 2014-05-13 1:00 PM-2:00 PM
Episode #4 2014-05-20 2:00 PM-3:00 PM
Episode #5 2014-05-27 3:00 PM-4:00 PM
Episode #6 2014-06-03 Day 9: 4:00 P.M. - 5:00 P.M
Episode #7 2014-06-10 Day 9: 5:00 P.M. - 6:00 P.M
Episode #8 2014-06-17 Day 9: 6:00 P.M. - 7:00 P.M
Episode #9 2014-06-24 Day 9: TBA
Episode #10 2014-07-01 Day 9: TBA
Episode #11 2014-07-08 Day 9: TBA
Episode #12 2014-07-15 Day 9: TBA
 
Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live another day itakuwa hewani kuanzia siku ya Jumanne hii tar 06/05/2015. Series hii itaanzia miaka minne baada ya ile season 8.
Kama mnakumbuka vizuri Jack alilazimika kuikimbia nchi yake akiogopa kukamatwa na Warusi na Wamarekani wenyewe, huku akimwomba rafiki yake kipenzi Chloe amtunzie binti yake.
Je ni kwamba atafanikiwa kuteka soko la filamu kama mwanzo, basi tuungane nae tuone nn kitafuata...............

Huyu jamaa nilikuwa nasubiri kwa hamu kubwa maana hayo mambo ya wakolea me cyawezi kabisa mishale tu na mapanga
 
hakunaga kama saa 24....

Kuna watu huwa wanasema Prison Break inaishinda 24, ntaendelea kuwabishia siku zote, hakujawahi kutokea ya ukweli kama 24, ingawa ya sasa wanasema season 09 moja itakuwa ni episode 12 tu na itakuwa inaruka ruka kidogo masaa si masaa 24 tena kama mwanzo, nategemea hata hii itabamba
 
Hakunaga kama prison break

Naunga mkono hoja.Watu wameandika sana kwenye prison break.24 is business as usual,stori haina ubunifu mpya mengi ni yaleyale yaliyopo kwenye Scandal,XIII na series zingine zenye maudhui ya namna hiyo
 
Stori inaweza kuwa hakuna jipya ila series sio story tu inategemea unaifikishaje hiyo story,,,,hivi hapa bongo kwa mfano wasanii wetu kuna kitu kipya wanachoimba? Tunaangalia pia hiyo story unaifikishaje kwa hadhira
 
The best series nilizoona
Prison break
24
Lost
One Tree Hill
The Unit
Hawaii 5-o
Covert Affair
Nikita
Heroes
Revolution
Crisis
Blacklist
Scanda

Na zingine mingi...
 
Huyu jamaa nilikuwa nasubiri kwa hamu kubwa maana hayo mambo ya wakolea me cyawezi kabisa mishale tu na mapanga
Mkuu, Wakorea wana taste za aina yote... look, hamna majambia na mapanga kwenye IRIS, Athena, City Hunter and many more... to be honest, hata mimi cipend series za kukatana mapanga...Binafsi, wanachoniboa Wakorea, ambacho pia ni inevitable ni majina yao... unakuta unaangalia series huku ukijitahidi ku-memorize majina lakini unamalizia episode ya mwisho, majina yote umesahau! Thanx to Lobbyst, hawa bila shaka walifahamu majina yao kwenye international entertainment area ni tatizo, so wakajipa majina ya kizungu!!!
 
Yaani hapa akili yote inawaza tu ifike kesho asubuhi nianze kupekua Torrent sites, 24 Series nliyokua naipenda sana,ilipoondoka kidoogo Breaking bad ikawa inanifariji,nayo ikaisha. Thanks Fox wamesikia kilio changu.
 
The best series nilizoona
Prison break
24
Lost
One Tree Hill
The Unit
Hawaii 5-o
Covert Affair
Nikita
Heroes
Revolution
Crisis
Blacklist
Scanda

Na zingine mingi...

kwenye hizo ongezea na Arrow mkuu, hautojuta hata

Wakati naisuburia hii mpya, namalizia kuangalia season 8 kwa mara ya pili, kwangu mimi katika series zote sijaona kama 24.

Yaani me nimeimalizia jana, sasa naisubiri kwa hamu kubwa

Hakunaga kama Lost..

Lost ni kali pia mkuu, ila kuna sehemu ilifika ikanivuruga kabisa
 
Mkuu, Wakorea wana taste za aina yote... look, hamna majambia na mapanga kwenye IRIS, Athena, City Hunter and many more... to be honest, hata mimi cipend series za kukatana mapanga...Binafsi, wanachoniboa Wakorea, ambacho pia ni inevitable ni majina yao... unakuta unaangalia series huku ukijitahidi ku-memorize majina lakini unamalizia episode ya mwisho, majina yote umesahau! Thanx to Lobbyst, hawa bila shaka walifahamu majina yao kwenye international entertainment area ni tatizo, so wakajipa majina ya kizungu!!!

kazi zaidi ni kufatilia kwa kuyasoma yale maandishi, mda mwingine hata picha huoni unaangalia maandishi tu na yakikupita tu lazima urudishe nyuma sasa ndo mambo gn haya
 
Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live another day itakuwa hewani kuanzia siku ya Jumanne hii tar 06/05/2015. Series hii itaanzia miaka minne baada ya ile season 8.
Kama mnakumbuka vizuri Jack alilazimika kuikimbia nchi yake akiogopa kukamatwa na Warusi na Wamarekani wenyewe, huku akimwomba rafiki yake kipenzi Chloe amtunzie binti yake.
Je ni kwamba atafanikiwa kuteka soko la filamu kama mwanzo, basi tuungane nae tuone nn kitafuata...........
Im dying waiting for Homeland Season 4 though am still mourning the death of Sargent Brody...fu'ck CIA, ---- Senator Lockhart.
 
Lost ni kali pia mkuu, ila kuna sehemu ilifika ikanivuruga kabisa
Lost ni bonge la series, sema Flash Forward zimekuwa nyingi mno... kwenye particular episode, unaweza kuta zaidi ya robo saa imetawaliwa na flash back na flash forward.
 
Back
Top Bottom