THE REASON I USED TO HIDE SCHOOL EVENTS FROM MY PARENTS

THE REASON I USED TO HIDE SCHOOL EVENTS FROM MY PARENTS

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Me as a father on my way to embarrass my children at school meeting.

_20250814_090912.JPG
 
You reminded me, I have never attended any graduation. Not from primary school, secondary school both O level and A level, university for both bachelor and masters, or even for professional awards.
 
Huyo ni baba angu kabisa, Yaani akiamua kukufedhehesha ni unafedheheka kwelikweli....

Usiku unampanga kabisa baba Vaa vizuri upendeze na ikishindikana kabisa njoo hata na benz hatakama ni model ya zamani lakini nawewe utakua umeonekana mzazi wa Lee,. Atakwambia sawa Halafu atakuja na paso hiyo imechubuka rangi haieleweki ni nyeusi au dark blue kwanza hata nyumbani hujai kuiona,. Nguo sasa ndio utadhani alikua anapalilia shambani amekurupuka kuwahi kikao😌😌,. HALAFU ANAKWAMBIA USINIPANGIE MAISHA.

Wakati mama hadi nguo anakwambia begi langu hilo chagua nivae nini mwanangu kila mtu aseme yule mamake Lee,.

Me ndomana vikao vyote nlikua namwambia mama tu aisee,. Baba atabiriki siku nyingine anakuja hadi unaenjoy ila siku zingine utatamani usingeenda shule😂😂
 
Back
Top Bottom