The Real Hidden World

mkuu hapa hata mimi napata shida na ukakasi mwingi mno juu ya israel, ningeomba msaada wako juu ya hili mkuu
 
mkuu hapa hata mimi napata shida na ukakasi mwingi mno juu ya israel, ningeomba msaada wako juu ya hili mkuu


Usijali Mkuu Ikiwezekana NItaanza Nayo hio Mada Hat Usiku Wa leo
NItaendeleza hapa.
Tuomb Uzima tu
 
Nimekipata hicho kitabu sema nimesoma maelezo yake sijaelewa swali unaulizaje ila nimekipata kwenye pdf nahitaji nikifahamu hukute ndo vitabu vlivyotolewa kwenye bible
 
Nimekipata hicho kitabu sema nimesoma maelezo yake sijaelewa swali unaulizaje ila nimekipata kwenye pdf nahitaji nikifahamu hukute ndo vitabu vlivyotolewa kwenye bible
Ha ha ha ha ha
haya Mkuu mie niliishia kukijua tu faida na madhara yake,
Pia nilitaka nijue tu kama ni kweli kinafanya hivyo,
Ila Sikuaw interested kutaka kukisoma na kujifunza jinsi kinafanya,
So huko mbali sikufika kabisa, Kwasababu zangu binafsi
 
nakufuatilia mkuu shusha mondo hizo...
kama nakihitaji hicho kitabu cha napoleon .nitakipataje mkuu
maana Google umesema kuna wajanja wajanja wengi unaweza ukauziwa fake
KITABU HICHO CHA NAPOLEON HIKI HAPA KIPAKUENI
 

Attachments

mi huwa nawashauri watu wasome sana vitabu mbali mbali lakin hv vitabu vya cjui usioonekana sishaur mtu kuvisoma coz haina tofauti na kumchunguza Mungu mwisho utaishia njian. sasa ok nikishasoma hivyo vitu vya ulimwengu usioonekana ndio vitaniongezea gorofa au? nikishaujua huo ulimwengu then nini next. ni vyema ujifunze vitu vinavyoweza kukusaidia kutimiza ndoto zako na sio kukuongezea maswali ya kukusaidia kuelekea huko shimon tu
 
Nikweli ndugu usemalo
Ila Kumbuka Unaposoma History haina maana ukiwa kazini utafanya kai ya history
Kuna vitu tunaita ujuzi kuna vitu tunaita maarifa napia kuna cha ziada kinaitwa hitaji.
Vyote hivyo vinasababu hadi uweze kuvitambua na kuvizingatia, bila sababu huwezi kuvijua na kuvitambua ni lazima uwe na sababu yako ya msingi itakayokupelekea kujua.
Mfano Mmoja mzuri sana ni huu
-Kwanini Unajua Ubatizo umewagawa wakristo?
-Je Unaweza Kushika Sheria Ambazo Hazina Hukumu(Utawashangaa Wasabato Hapa)
-Je unajua yakuwa Biblia haithibitishi uwepo Wa Mungu?(Wanaoamini Mungu Yupo ndio wanawaamini biblia ila asiyeamini Mungu Yupo hata Biblia hawezi iamini)
-Je nikweli baraka unaweza zipata kwa kuibariki Israel?(Wakristo hapa wengi wanafeli kwakuwa wamekaririshwa neno ila hawajataka kujifunza na kulielewa neno)
Maswali machache hayo hapoo juu ukijiuliza utatambua yakuwa ni jambo limefichika ambalo hakuna mtu atakupa majibu sahihi usipoamua wewe kujifunza.

Kwahiyo mambo yaliofichika si kukupeleka shimoni ila yatakufanya ujitambue na kuzijua haki zako zaidi za msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…