The REAL buffalo soldier!

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
3383C2D400000578-0-image-a-25_1461574306875.jpg
3383BE2B00000578-0-image-a-10_1461574276874.jpg
3383C5D000000578-3557364-image-m-53_1461576838462.jpg
3383C4C900000578-0-image-a-34_1461574327404.jpg
3383C5E800000578-0-image-a-35_1461574333772.jpg
 
Njaa ilikuwa imemkamata sana au alikuwa hajawahi kukutana na shughuli ya Nyati. Maana Simba 1 anaweza kumuua Nyati anapokuwa pekeyake, kunapokuwa na kundi la Nyati lazima kuwe na Simba kuanzia 3 pamoja na Dume.
 
Kuna mchambuzi mmoja wa kizungu yeye anaeleza sifa za wanyama kwenye documentary Fulani anasema, "Buffalo is the most dangerous animal in Africa" while Rhino is the simplest animal to hunt.
Ana sababu zake za msingi kusema hivyo na ukimsikiliza anakushawishi.
 
Aisee mpambano wa Nyati na Simba ni mkali sana..nilicheki clip youtube kati ya Simba na Nyati dume...Simba alianza mrukia Nyati kwa nyuma kwa tahadhari kubwa kutaka kumuangusha ila wakati anajisogeza ili amuangishe na kudaka shingo loh....Nyati alimpiga pembe moja na kumrusha hewani kabla hajatua akiwa hewani akaongezewa nyingine na kuanguka kama mtu alipigwa ngumi kali ya uso na kufikia mgongo.Simba hamu ya kula nyama iliisha na kukimbia pambano!:D
 
Yaani kisago alichopata hatakaa ajeasahau..wamezidi kuonea swala na nyumbu
 
You made me shed tears honestly! Wadanganika tunateseka kwa uoga wetu


DALA,
Lakini ipo siku kutazaliwa kidumeeeee. Si kila siku ni Ijumaaa. Waendelee kuwaminyaminya tu, sukari sasa 2500/=. Maisha hayo mazuri ni msamiati gani huo? Au kwa vile mnajichotea mtakavyo na hakuna wa kuwauliza? Roho huambukia
 
Back
Top Bottom