faustin_jr
New Member
- Jan 10, 2017
- 2
- 1
Nini Mawazo Yako Katika Hili.
Tyrant
Tyrant
Acha utani wewe.Scoffield is one thousand better kuliko professor
Sent from my iPhone using JamiiForums
Prof ni bora kwa sababu kapiga mission ngumu ya kuvamia benki kuu ya nchi na kuchomoka na mapesa na akawagaia wananchi.Nini Mawazo Yako Katika Hili.
Tyrant

Hiyo alifanya kwenye season ya ngapi?maana me nimeangalia prison break season ya kwanza na ya pili tu.Prof ni bora kwa sababu kapiga mission ngumu ya kuvamia benki kuu ya nchi na kuchomoka na mapesa na akawagaia wananchi.
Scolfield huwezi mlinganisha na prof wewe. Kumtorosha mtu jela ni kitu kidogo ita polisi pemben mpe buku 50 uone kama ndugu yako hajatoroshwa na hao polisi wanao mlinda.
Sasa jiloge uende benki kuu ya nchi useme nataka kuvunja uone kitakupata nini.
Bella cha bela cha bela cha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Prison break ni noma aisee hautapoteza muda wako me na inapozidi kwenda mbele na utamu unazidi kuongezeka mbele ukifika season ya 2 kuelekea ya 3 Kuna jela moja inaitwa Sona Michael scottfield na wenzake watapelekwa hiyo jela,hiyo jela humo ndani Hakuna walinzi mpo wafungwa pekee mnajitungia sheria wenyewe na ukiwa mbabe ndo unatawala wafungwa wenzako wote.Wamejiwekea sheria ukitupiwa mguu wa kuku lazima upambane na aliyekutupia au aliyekuwekea na sharti la mpambano huo lazima mmoja afe.Baada ya kusika kila mtu mtaani anaisifia wengine wanaiponda, nami ndio nimeamua kuiangalia nipo S1 E 5. Nitarudi.
Kivip?Hii series ni overrated.
Hakuna series hapo inapambwa sana alafu ni yakawaida sanaKivip?
Ukawaida wake ni upi?Hakuna series hapo inapambwa sana alafu ni yakawaida sana
Ukawaida wake ni upi?

Unataka kusema katika series 20 kali hiyo ipo? mm hata 30 kali haiwezi kukaa huu upuuzi.Ndo uniambie ukawaida wake upo vipi? Na hizo series unazosema ni Bora kuliko Prison break ubora upoje kushinda Prison break?Unataka kusema katika series 20 kali hiyo ipo? mm hata 30 kali haiwezi kukaa huu upuuzi.
Basi mzee nilichogundua kuwa ww ni mtu wakufuata mkumbo hiyo 1 series unaangalia mpaka uhadisiwe ipoje ndio uangalie.Ndo uniambie ukawaida wake upo vipi? Na hizo series unazosema ni Bora kuliko Prison break ubora upoje kushinda Prison break?
Wewe sijui unafananisha vitu gani,..Prof ni bora kwa sababu kapiga mission ngumu ya kuvamia benki kuu ya nchi na kuchomoka na mapesa na akawagaia wananchi.
Scolfield huwezi mlinganisha na prof wewe. Kumtorosha mtu jela ni kitu kidogo ita polisi pemben mpe buku 50 uone kama ndugu yako hajatoroshwa na hao polisi wanao mlinda.
Sasa jiloge uende benki kuu ya nchi useme nataka kuvunja uone kitakupata nini.
Bella cha bela cha bela cha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamiiforum sio fb au insta ni jukwaa lenye hoja usikimbie hoja ya msingi unaposema series fulani ni ya kawaida lazima uwe na hoja zinazoonesha kweli hii ni series ya kawaida mfano me nilisema money heist season 1 ni ya kawaida na nikasema sababu ya kuiona ya kawaida ni pale ambapo professor kila mipango aliyokuwa amepanga lazima afanikiwe hapo ndio inapopunguza uhondo.Sasa wewe utupe sababu zako za Prison break kuona ni ya kawaida?Basi mzee nilichogundua kuwa ww ni mtu wakufuata mkumbo hiyo 1 series unaangalia mpaka uhadisiwe ipoje ndio uangalie.
2. Bado series kali huzijui nilitegemea nilivyosema ya kawaida ungekuwa ni muangaliji sana wa series ungenielewa kwa haraka sana ndio maana comment iliyofuata nikakuambia hata katika series 30 kali haiwezi kuwepo bado hukuelewa.
3. Kumbe ww ni mbishi hili kila mtu anayekuja anajua kuwa ww ni mtu gani mm sitaendelea kukujibu tena hapa nimemaliza mzee.