Na hii ndiyo inafanya kataa ndoa wanajichotea ushindi kila siku.
Wanawake wa sasa watapenda Morden Marriage ila wanataka waume zao wawape Traditional Treatments, yani zile za Ki Gentlemen.
Wakati wao hawataki kuishi maisha descent wanayotaka wao wapewe.
View attachment 3533254