The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 812
- Thread starter
- #21
Makavu ya Kiingereza sio dili na wala hayachomi.... yangekuwa ya kiswazi hapo weeee ungeona mziki wake
At least kupunguza ukali wa maneno mkuu
Makavu ya Kiingereza sio dili na wala hayachomi.... yangekuwa ya kiswazi hapo weeee ungeona mziki wake
mhahahahahahahahaha na kauharo kadogo kametoka
At least kupunguza ukali wa maneno mkuu
Loving you is not a problem, the problem is MONEY #Hahaha
Tuletee kwa kiswazi banaaa tuchangamke kidogo