kimatire JF-Expert Member Joined Nov 27, 2008 Posts 371 Reaction score 94 Jun 21, 2011 #1 President's Management Advisory Board: Part 2 | The White House President wetu anao washauri wa jinsi hii? Ni kina nani hasa?
President's Management Advisory Board: Part 2 | The White House President wetu anao washauri wa jinsi hii? Ni kina nani hasa?
M Mdondoaji JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,108 Reaction score 1,140 Jun 21, 2011 #2 kimatire said: President's Management Advisory Board: Part 2 | The White House President wetu anao washauri wa jinsi hii? Ni kina nani hasa? Click to expand... Kwa kuanzia kuna hawa wawili:- a. Bibi Elsie Kanza - Mshauri wa uchumi ambae si mchumi ndio maana sasa hivi kizungumkuti tu. b. Kingunge ngombare Mwiru - Mshauri wa siasa mwenye mtazamo uliopitwa na wakati kwani siasa za ujamaa zilikufaga zamani.
kimatire said: President's Management Advisory Board: Part 2 | The White House President wetu anao washauri wa jinsi hii? Ni kina nani hasa? Click to expand... Kwa kuanzia kuna hawa wawili:- a. Bibi Elsie Kanza - Mshauri wa uchumi ambae si mchumi ndio maana sasa hivi kizungumkuti tu. b. Kingunge ngombare Mwiru - Mshauri wa siasa mwenye mtazamo uliopitwa na wakati kwani siasa za ujamaa zilikufaga zamani.