Sales man
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 570
- 843
Polepole Angeleta hoja zake 2014-2015
Kipindi vijana walikuwa active na siasa nahisi CCM kingekuwa ni chama cha upinzani .
Ila sioni ajenda yoyote ikifanikiwa kwa generation ya sasa ambayo imekuwa Kama akili unde .
Hata hiyo 29/10 sioni chochote
Shida sio Watanzania Ila ni wakati unaweza Fanya jambo zuri ila at the wrong time.