The power of the Bahima Empire

Hapa waafrika ndipo tunapopoteza muelekeo, tunaanza kuogopa vivuli vyetu badala ya kuangalia dunia inaelekea wapi. Angalia brazil, india, china etc
 
Bahima empire on the move ...............
 
Hawa watusi wanajiingiza tz wakikimbilia bukoba na ngala na kigoma watu wote wanaotoka mikoa hii inabidi tuwatazame mara 2 kabla ya kuwapa madaraka mana mtusi ni mtusi tu ni nyoka.

Mtu unaweza vipi ku underestimate brains kali humu ndani .....huyu memmber aliandika hivi mwaka 2012......

sasa Congo,Rwanda,Tanzania ,Uganda ....its really!!
 
Sasa kama wametuzidi mbali kwanini tusiwaache tu wakatutawala?

Sasa kama wametuzidi mbali kwanini tusiwaache tu wakatutawala?
wahima wanaiclude makabila mangapi ya maziwa makuu? je na wahaya wapo?....
 
Gama uliyoyasema ni kweli Mkuu, yamedhihirika na yanazidi kudhihirika
 
Gama uliyoyasema ni kweli Mkuu, yamedhihirika na yanazidi kudhihirika
Ndivyo ilivyo, hii ni post ya mwaka 2010, but 2015 attempt ya coup inafanyika dhidi ya rais, few months later, inadhihirika Paul kagame anaandaa jeshi la wakimbizi wa Burundi ili kumpiga rais wao
 
Ndivyo ilivyo, hii ni post ya mwaka 2010, but 2015 attempt ya coup inafanyika dhidi ya rais, few months later, inadhihirika Paul kagame anaandaa jeshi la wakimbizi wa Burundi ili kumpiga rais wao

Kabisa Mkuu
 
Najua hii ina ukweli, lakini hatuna muda wa kuijadili kwa sababu na sisi tuna wahima wetu (CCM) wanatuhangaisha kweli kweli hapa nchini. Wamejipa haki ya kutawala milele sawa tu na wahima wa Uganda, Rwanda na Burundi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndivyo ilivyo, hii ni post ya mwaka 2010, but 2015 attempt ya coup inafanyika dhidi ya rais, few months later, inadhihirika Paul kagame anaandaa jeshi la wakimbizi wa Burundi ili kumpiga rais wao
Hili jeshi analoliandaa kagame limefikia wap
 
Duuuu we jamaa utakuwa unalako jambo kama sio mhutu sijui watz hatupo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…