MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
-
- #41
....Mpe tu second chance hakuna ubaya na pia ukumbuke kwamba binadamu hatuko perfect...ali mradi amekuomba samahani kwa kosa alilolitenda na samahani hiyo ukaikubali bila shingo upande basi kumsamehe ni jambo jema...vinginevyo unaweza kuruka....... ukakanyaga..... 🙂🙂....kwani shemeji weye hujawahi kusamehewa kwa (ma)kosa yako/lako!?
Vaislay
Asa unaitumia thread yangu kujipigia debe?! Nani mwingine ataedeserve my second chance katika dunia hii ya mapenzi kama is wewe Mbu? Hapa nawaza yale ya what if ujue!!
KilLa tukio LLna seclond chansiBabu DC, Aspirin and The Finest, swali mnisaidie, hivi second chances mwisho mara ngapi?
Note: mie NKristo, 7x70 sijui kama inatosha....
ODM anaamini hakuna second chance isiyo na maumivu ya pili. Kama umeamua kutoa second chance basi na moyo wako uweke kwenye utayari wa kuvumilia second blow....! Kama hauko tayari kwa hilo basi jiandae kufa kwa mapresha.
Jasiri haachi asili, Niape?
Sijawahi experience iyo ki2 ebu nisubiri initokee then takuja kukwambia nimechukua uamuzi gani
ODM anaamini hakuna second chance isiyo na maumivu ya pili. Kama umeamua kutoa second chance basi na moyo wako uweke kwenye utayari wa kuvumilia second blow....! Kama hauko tayari kwa hilo basi jiandae kufa kwa mapresha.
Jasiri haachi asili, Niape?
Na kiukweli tena, hakuna kitu kibaya kama upweke kama umeshindwa kuukabili. Ni heri uvumilie maumivu ya blows za second chance kuliko kuteseka na upweke....
Si wajua dawa ya moto ni moto? Akikupa second blow nawe unamrudishia kwa matatu mfululizo..... Ila hakikisha hamiliki silaha, Misiba ya kimapenzi si mizuri sana, afadhali tena hata upweke lol HAKI YA MUNGU VILE.
Katika mtandao wa mapenzi ukikaribisha Second chance, utafika hadi forth chance!
Sikutanii !
Solution kata Mkaratusi ! Panda Mkaratusi .
Mdoe ntakutafuta unipe tuitionSecond chance!!?? Never hapens to me! Nafanyaga maamuzi sahihi once.
MwanajamiiOne
Ni kweli huenda matatizo yaweza kuwa kwako. Kwanini uruhusu wewe utendwe tu? Kwanini wewe uwe mpokeaji tu, uko vulnerable kiasi gani?
Nafikiri unahitaji naye kumfanya asijiamini na asikutake for granted.
Nafikiri ni muda wa kutoka kwenye receiving end!
....lol, "birds of feathers,....!" niachieni soulmate wangu...tunabanana humuhumu.
King'asti, unahisi amekuelewa au nyagi lishashika hatamu mtaa wa chini? Huyu wa kutandika bakora huyu! Au kama vipi labda aje Pope mwenyewe kuharamisha second chances...lol
Mjukuu wangu MwanajamiiOne,
Naamini haya umeyaandika kwa akili na utashi wako na wala siyo msukumo wa kinywaji....
Kwa maelezo yako, mtu aliyefikia hatua hiyo uliyoieleza, hatishii nyau bali anafanya mkweli. Umpe second chance au la, hawezi kurudi nyuma!!
Sasa unaamuaje?? ..Kulia kwenye side place au dinner plate?
Babu DC!!
some broken heart never mend, some memories never erase, some tears will never dry..................., dah second chance bana ukiitoa inabd ujiandae ni wachache sana kwa kweli wanaojirekebisha na wasirudie tena kucheat, mwenzi wako anapojua umeshajua kuwa anacheat huwa ni rahc zaid kuendelea na katabia coz mwanzon huwa anajificha usijue, akijua unajua anafanya bac tena hapo mulika mwizi, kama hamko kwenye ndoa tafakar na uchukue hatua,
Huyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!
Wapendwa nawaamkua.
Najiuliza inawezakana kweli? Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo, mwenye mapenzi ya kweli ana uwezo wa kuresist kukuumiza (anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect) sasa akiamua kuiacha na kuipa nguvu nyumba ndogo kiasi cha yenyewe kukutambia hadharani hadi akakugusa mkono kipofu wewe kuwa bwana eh...bwana/bibi ulonaye sote twala kwa zamu ..............je kweli second chances zinalipa??
Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahahaha
Karibuni waungwana