MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Nakumbuka nlishakuchapaga kwa kuchelewa kulala. Saa ngapi saa hizi? Hujakoma? Ngoja nije hapo!
Utakuwa unakunywa kiroba chapa jogoo tu ndo inayoumiza kichwa hivo
Wapendwa nawaamkua.
Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo,(anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect)
ODM anaamini hakuna second chance isiyo na maumivu ya pili. Kama umeamua kutoa second chance basi na moyo wako uweke kwenye utayari wa kuvumilia second blow....! Kama hauko tayari kwa hilo basi jiandae kufa kwa mapresha.
Jasiri haachi asili, Niape?
Sijawahi experience iyo ki2 ebu nisubiri initokee then takuja kukwambia nimechukua uamuzi gani
Hahaha, afu blow huwa zinaambatana kama zimepangiliwa. Its like all hell break loose. Ikianza ya kwanza tu haupiti mwezi kabla ya pili na ya tatu hazijakuja!
King'asti, unahisi amekuelewa au nyagi lishashika hatamu mtaa wa chini? Huyu wa kutandika bakora huyu! Au kama vipi labda aje Pope mwenyewe kuharamisha second chances...lol
Mjukuu wangu MwanajamiiOne,
unaamuaje?? ..Kulia kwenye side place au dinner plate?
Babu DC!!
King'asti mpe second chance banaa kwani wewe haujui power of second chanceHuyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!