The power of God for those unemployed!

AMEN,sio hapo tuh hataukipata kazi endelea kuomba songa mbele...
 
Sio kwenye shida tu ndipo umwombe Mungu, ila ukimfanya Mungu kama rafiki yako hata ukae miaka ishirini hujapata kazi utaendelea kuwa na amani moyoni. A good idea is to make strong relationship with God na sio kumfanya mungu kama ATM machine.
 
Ni kweli kabisa, Mungu ni tajiri, dunia yote na kila kitu kilichomo ni chake, kama ukiwa na mahusiano mazuri na yeye ukimwomba hata kupa? La hasha, cha msingi ni kuwa na imani isiyotetereka.
 
umetutia moyo sana, inabid tuombe na tukipata kazi tushukuru,pia tusipige vifua mbele kwamba tuna kazi cauz sio kwa uweza wetu, finaly, hata tukipata kazi tuendelee kuomba.God is good always;
 
sasa ninyi mlizani wachawi na wanga kufanya mambo yao usiku walikuwa wajinga wanajua siri za mafanikio ni kuanzia saa ngapi hadi jua likichomoza ONE MAN MUST GO DOWN.
imeandikwa mtatazama msione, mtasikia msielewe, mengine utajua mwenyewe umiza kichwa
 
mungu hapendi misisimko,ila jitahidi sana kumfahamu naye atatembelea mahitaji yako.........shuhuda zni muhimu kwani zinampa BWANA WA MAJESHI UTUKUFU.....
 
nimetafuta sana kazi bira mafanikio tukaamua mimi na mchumba wangu tuwe tuna amshana saa9 usiku kwa maombi maalum,ndugu zangu Mungu kajibu haraka nimeitwa kama sehemu tatu amakweli binadamu anateseka kwa kukosa maarifa kidogo,try the power of lord

Amen,endelea kuombea tatizo la ajira kwa ujumla na wale wote ambao bado hawana ajira,ubarikiwe zaid
 
MUNGU ni muweza wa yote daima......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…