The Poacher

Tobah !! hii silaha yachini mbona haina ulinzi huyu jamaa anajiamini nini ?
 
Huyu siyo pocha hata kidogo. Inaonesha aliomba hii asault gun apigenayo picha na simzoefu wa kushika kitu hiki hata kidogo: mtazame anajaribu kushika triger na MIDDLE finger-hii haiwezekani: mkono wa kushoto umeshika kwenye BARREL- hii haiwezekani kwani wakati wa firering barrel huwa ya moto. Period.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…