Sasa hao waliofoji piltdown man walitaka wadanganye dunia kuwa binadamu aliaza England, kwamba wazungu ndio master race.Lakini sasa Elimu ya Genetics imehakiki asilimia 100% kwamba binadamu wa kwanza yaani Eve na Adam walianzia east afrika yaani
Tanzania, Ethiopia na kenya na hakuwa mzungu, alikuwa mwafrika. Sasa hii fact imewaumiza sana wazungu, na ndio maana, they dont talk about the superiority of the white race,because they know the big daddy, was a black man.
The white man started existing around 20,000 years ago. Sasa kwa kuwa historia ya homosapiens, yaani binadamu kama sisi ilianza miaka 200,000 iliyopita,maana yake ni kwamba in 90% of the history of mankind, the white man did not exist! Hence you seee the need to doctor evidence.
Fundisho: Usikubali kila kitu unachoambiwa na wataalamu, chunguza kwanza, look at primary evidence before you accept anything!!