sumaibra
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 232
- 101
Nilikamata mmoja nikapiga kwenye gari. Sasa hii ni one night stand auuuuu
Inategemea kama uliifanya asubuh jion au usiku
Nilikamata mmoja nikapiga kwenye gari. Sasa hii ni one night stand auuuuu
KabisaSometimes ni upumbavu tuu
AseeeHebu tupieni hapa one night stand yako ambayo ilikiwa perfect ever na hutaisahau kamwe.
Yangu ni siku moja nilienda kwenye semina moshi. Ilikiwa ya wiki moja. Monday to friday. Sasa siku ya ijumaa jioni nimetoka semina naenda kuchukua funguo counter nika mkuta mdada mmoja na anaulizia vyumba.
Then akamuuliza yule counter kama kuna sehemu angepata chakula kizuri hapo jirani.
Nikadakia mazungumzo na kumweleza kuna sehemu nzuri ambayo mimi nimekuwa nikila.
Na kwamba kama hatojali basi tuongozane baada ya kama dakika 30.
Akasema poa ngoja aweke mizigo halafu aoge twende. Tuliishia kulala pamoja na tulipata fursa nzuri sana ya kupunguza genye zenu.
It was perfect.
I humbly submit.
HahahaHebu tupieni hapa one night stand yako ambayo ilikiwa perfect ever na hutaisahau kamwe.
Yangu ni siku moja nilienda kwenye semina moshi. Ilikiwa ya wiki moja. Monday to friday. Sasa siku ya ijumaa jioni nimetoka semina naenda kuchukua funguo counter nika mkuta mdada mmoja na anaulizia vyumba.
Then akamuuliza yule counter kama kuna sehemu angepata chakula kizuri hapo jirani.
Nikadakia mazungumzo na kumweleza kuna sehemu nzuri ambayo mimi nimekuwa nikila.
Na kwamba kama hatojali basi tuongozane baada ya kama dakika 30.
Akasema poa ngoja aweke mizigo halafu aoge twende. Tuliishia kulala pamoja na tulipata fursa nzuri sana ya kupunguza genye zenu.
It was perfect.
I humbly submit.
HongeraMi nakumbuka siku moja nilifahamiana na dada mmoja kwenye gari, tuliposhuka ubungo ilikuwa usiku ikaonekana anakoenda kuna tabu ya usafiri and it was risky. Mwanaume nikapiga sound mi nakaa mitaa ya ubungo akakubali tupumzike ili kesho aondoke mapema. Njiani alinipa masharti kuwa kila mtu chumba chake, na hataki usumbufu, nikajibu poa.
Tulikula kabisa hotelini, hivyo kufika home ilikuwa kuoga tuu na kulala. Baada ya kuoga nikafungulia TV, nikamwuliza anapenda movie za aina gani, nikamwekea. Tukakaa kuangalia, oooh, mara ananiwekea paja mara usingizi. tukaishia kulala chumba changu and it was a nice game ctakaa nisahau.
HahahaHa ha ha.. Nina rafiki yangu ya kwake hataisahau.. Maana alikutana bar na mwanamke bia ya kwanza shemeji.. Bia ya pili bwana na zilizoendelea ikawa babe.. Alivyoamka asubuhi akamuona mwanamke amelala uchi ana vidoti mwili mzima..! Alikosa amani kwa miezi mitatu mpaka alipokuwa cleared kwamba hakuwa na virusi..
Ushauri wangu haya mambo ya 1 night stand ni kawaida lakini hadhari zichukuliwe.. Don't ever do it ukiwa matingas.. otherwise utakuwa kama rafiki yangu alieokonda kwa miezi mitatu kwa ajili ya 1 night stand..
Ha ha ha.. Nina rafiki yangu ya kwake hataisahau.. Maana alikutana bar na mwanamke bia ya kwanza shemeji.. Bia ya pili bwana na zilizoendelea ikawa babe.. Alivyoamka asubuhi akamuona mwanamke amelala uchi ana vidoti mwili mzima..! Alikosa amani kwa miezi mitatu mpaka alipokuwa cleared kwamba hakuwa na virusi..
Ushauri wangu haya mambo ya 1 night stand ni kawaida lakini hadhari zichukuliwe.. Don't ever do it ukiwa matingas.. otherwise utakuwa kama rafiki yangu alieokonda kwa miezi mitatu kwa ajili ya 1 night stand..
Hahahailikua kwnye harusi moja usiku... mdada tumekaa nae table moja nae hana kampan kama mimi ikabidi tukampaniane tukaenda mpaka over time!!!! It was remarkable
AseeKuna siku nilikuwa mitaa ya sinza. Nikamuona mdada 25-28yrs anafuta machozi. Its like ana tatizo or smthn. Roho ikaniuma nikamfuata nikamfuta machozi then nikampa pole. Nikamwambia whatever it is will be ok usijali. Nikarudi nilipokuwa nmekaa. After like 10mns hivi akainuka akaja kukaa nilipokuwa. Akaniomba naweza kukaa hapa. Nikamwambia bila shaka usijali. Akanieleza kuwa bf wake amemfumania na demu mwingine. Nikampa pole. Tukapiga story story kidogo then nikamwambia unapendelea nn (katika kupoteza mawazo ya the so called bf) akasema movie. Ilikuwa saa 12 tukachukua bajaj hadi mlimani tukaingia movie. Cha kushangaza akalipa kiingilio. Tukacheki movie ilivyoisha. Akaniuliza napenda nn ili nami nifurahi n iwe kama asante kwa kumpa company wakati ule mgumu. Nikamwambia twende migombani nipate angalau ndovu 2 baridi sana. Tukatembea mpaka brajec. Njiani akawa ananishika mkono. Akasema the way alivyoumia hakutegemea kama atakutana na kijana mstaarabu mwenye huruma n upendo kama mimi. Dah mtu mzima akili ikaruka fasta nikajisemea kaumia lazima nilie shida hapa who knows naweza pata hifadhi kidogo. Tukafika brajec nikaagiza ndovu yeye akaagiza zanzi. Tukapiga round 3. Nikamwambia tumalizie siku. Akasema ngoja afikirie nimpe dk kadhaa. Huku tunatoka njiani akakubali bt akasema kinga muhimu. I was like fine usijali. Tukatafuta ka hotel kazuri maeneo ya mwenge akalipa. Nikanunua vinywaji tukazama room. Shughuli ilikuwa ndefu n tamu sana. Kushtuka saa 11 tukalala kidogo saa 3 tukasepa zetu.
Sijamuona tena hadi wa leo.
Bado unamlaHere we share experiences.
Misinihukumu coz it was long time....
Nilikuwa safarini natoka Mbeya nakuja Dar,gari yetu ilikuwa na misukosuko sana maana break zilikuwa zinasumbua mpaka iringa tuliingia saa 8 mchana just imagine....kuna Dada mmoja alikuwa amekaa kiti cha nyuma kabisa alikuwa ananiangalia sana mpaka tulipofika kwenye hotel ya Comfort alikuwa bado ananitolea macho kipindi icho nilikuwa na stress nyingi sana nkawa sijali.
Tulipofika kwenye mtemko kabla ya kufika Mikumi mizani gari ilifel break tukapata ajali hiyo ilikuwa ishafika SAA 11:30
Sasa tukafaulishwa mpaka mikumi mizani ili tujusitili ili kesho tuendelee na safar maana mda ulikuwa umeshaenda.
Kumbe yule msichana bado yupo na Mimi naenda kutafuta msosi yupo .....ikabidi tuanze mazungumzo tukaja kuishia guest mpaka asubuhi yaani ilikuwa ni big experience.
Kesho tulivokuja kufaulishwa alishukia Moro msamvu.nilikuja kukutana nae miezi sita baadaye maana alichukua business card yangu
DuuhKuna siku nilienda safari ya kikazi huko mkoani. Sasa boss wa hiyo taasis ambako nilienda kufanya kazi akaja kunupokea airport akiwa na dereva wake na binti yake ambaye kwa wakati huo alikuwa amemaliza chuo cha ualimu certificate.
Inaonekana walikuwa wametoka mahali. Basi tuka mpitisha boss ofisini ilikuwa kama saa 5 hivi asubuhi, then akamwambia dereva anipeleke hotelini halafu ampeleke binti home. Mimi na binti tulikaa kiti cha nyuma pale kwenye shangingi.
Kwa kuwa nilikuwa sijui ratiba ya safari nilichotaka kuhakikisha bi kumpa binti namba na mimi kupata yake.
Nikatoa business card yangu nikaipenyeza kwa chini chini na yeye akawa ameshtukia game kaichukua kwa umahiri mkubwa kaweka mfukoni.
Alivyo fika nyumbani tu kanipigia simu, nikamwambia chukua tax uje hapa hotelini. Dakika sifuri tu mtoto huyoooo kamwagika room.
Tukaendelea na yetu hadi saa 12 jioni . hatukuwahi kurudia yena game sababu ya umbali.
Uki imalizia hii ni TAG 🤓 Umenikumbusha story za BKOooh yaaaa yaaa i met him kwenye meli, nkiwa naenda bukoba, tulisoma wote o'level japo aliniacha vidato viwili, alikuwa handsome ana mvuto kama pesa mcheza basket, enzi hizo skul hatukuwahi kusalimiana ye si tozi nami sista duu buyu buyu...siku hiyo tukasalimiana na kukumbusha vistori vya skuli kiaina oooh saa nane za usiku katikati ya ziwa victoria baridi kali sweta naliona kama shumizi tu afu ye ana lubega!!!!
ntaendelea kesho nmechoka kuandika.....