The Paper Trail - GADO

Hapa ndio ninapokuwa namkubali GADO kuliko KIPANYA

Kipanya amekuwa too comfortable siku hizi
 
sio KP tu, GADO anaongoza EA, anaweza kukupa uhalisia wa mambo mengi through picha moja tu! Zaidi ya picha yeye binafsi ana mtazamo na uelewa mkubwa kuhusu jamii inayomzunguka na siasa zetu!
 
Si utani ni taswira nzito sana hiii KJ....... Keep it up Gado manake umekamata ile mahali inatakiwa.........
 
Kipanya Umeishiwa
Hiyo Barabara Umeiona Wapi
Siyo Lazima Uwe Unatoa Kila Siku Kama Huna Cha Maana Au Usanii Umeisha Au Sasa Unataka Kuwa Mhariri Mtoa Maoni?
 
Attachments

  • michkp.jpg
    13.4 KB · Views: 110
sio KP tu, GADO anaongoza EA, anaweza kukupa uhalisia wa mambo mengi through picha moja tu! Zaidi ya picha yeye binafsi ana mtazamo na uelewa mkubwa kuhusu jamii inayomzunguka na siasa zetu!

Gado nafahamu kuwa shule nayo imepanda kidogo. Labda ndio inayomsaidia kuwa na upeo mkubwa zaidi. Lakini KP naye anajitahidi bado.
 
sio KP tu, GADO anaongoza EA, anaweza kukupa uhalisia wa mambo mengi through picha moja tu! Zaidi ya picha yeye binafsi ana mtazamo na uelewa mkubwa kuhusu jamii inayomzunguka na siasa zetu!
Kwa taarifa yenu, GADO ni mbongo vilevile!
 
Hivi hakuna vijana wengine wanaojiunga na hii shughuli? Somo la fine art halifundishwi tena nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…