I wish ungeniambia haya kupitia lile 'jisauti' lako...uwiiiiiiiiThank you love!
You gonn' love this one.. I promise you
Dah ofcoz hii itahitaji kutuliza ajili haswaaa.. Maana ni kitu cha nje ya box kabisa!The Bold
Naona unajaribu nje ya box!
Bado nawaza hii simulizi itakuwa vipi?
Naona kama itahitaji nguvu na akili nyingi manake visa yake vingi ni vya kufikirika
Lakini pia bado niko naangalia hiyo picha! Kuna jambo najaribu kung'amua..
Ushafika Zurich?
Aww!! Thank you love..I wish ungeniambia haya kupitia lile 'jisauti' lako...uwiiiiiiii
Of course lazima niipende baby,viwango vyako vya simulizi sio vya nchi hii.
Nakufananisha na waandikaji script wa Korean film industry
Yani tena usinikumbushe ulivyonitesa,nilitaka kukupa 'adhabu' basi tu venye unanisahaulishaga mengiPamoja sana Mkuu..
Nifah naona siku hizi ameshazoea kuwa namficha simulizi na anaziona pale tu ninapotaka kuziweka.. Mwanzoni alikuwa ananunaaaaa hahahahah ila now hatamani hata kuona kabla.. Anainjoi arosto ya kusubiria
Mama yeyoo upo?I wish ungeniambia haya kupitia lile 'jisauti' lako...uwiiiiiiii
Of course lazima niipende baby,viwango vyako vya simulizi sio vya nchi hii.
Nakufananisha na waandikaji script wa Korean film industry
Hii ndio ndoto yangu ya kila siku my love,nitakupa motisha kila siku hadi ufike pale unapostahili kuwepo.Aww!! Thank you love..
Unanifanya nizidi kutamani kuwa bora zaidi!!
Hahahah!! Nakumbuka ile minuno aisee.. Na mimi sasa nilivo bandidu nikaendelea kukazaYani tena usinikumbushe ulivyonitesa,nilitaka kukupa 'adhabu' basi tu venye unanisahaulishaga mengi
Nipo baba yeyooMama yeyoo upo?
Weweeeeee basi tu niliamua kukutii,ila ningekaza....ohoooooo mbona ungelegeza?Hahahah!! Nakumbuka ile minuno aisee.. Na mimi sasa nilivo bandidu nikaendelea kukaza
Mbona leo kwa group hukuirusha?Group itakuwa inakimbia fasta.. Episode zitaruka kila siku.!