The ostrich people( watu wenye miguu ya mbuni)

The ostrich people( watu wenye miguu ya mbuni)

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,578
Reaction score
2,471
wakijulikana kama vaDoma, ni kabila inayoishi kaskazini mwa Zimbabwe, hasa katika wilaya za Urungwe na Sipolilo karibu na bonde la Mto Mwazamutanda, Zambezi. Wao ndio wawindaji wa jadi na wawindaji wa asili nchini Zimbabwe. jamii hii ya vaDoma imetengwa na jamii nyingine kwa sababu ya maumbile yao ya miguu. Hata hivyo,sheria ya kikabila inakataza kwa kijana kuowa/ kuolewa nje ya kabila hilo (vaDoma). baadhi ya jamii hii hupatikana mashariki mwa jangwa la kalahali.
24232708_1938277646187114_3629720600838666603_n.jpg
24067924_509658152753824_8859469442025262894_n.jpg
19145838_1311890672263753_7595557151396433061_n.jpg
23795101_299533397201566_4831977280407526284_n.jpg

Source: vyanzo mbalimbali

 
Nmeogopa na kutetemeka sio photoduka hii I mean photoshopu
Ni kweli mkuu! hata mimi nilivyoona documentary kuwahusu hawa jamaa nilishituka sana. nilikosa usingizi usiku mzima. kuna binadamu wenzetu wanateseka sana.
 
Fursa hiyo Wachagga tuchangamkie tukawachongee viatu special vyenye kukidhi mahitaji yao.
Ingawa wenyewe wanadai eti maumbile hayo ya miguu yanawapa wepesi wa kukwea miti ile kinoma. serikali ya zimbabwe ilikataa kuwaweka kwenye kundi la walemavu (disabled).
 
Ni kweli mkuu! hata mimi nilivyoona documentary kuwahusu hawa jamaa nilishituka sana. nilikosa usingizi usiku mzima. kuna binadamu wenzetu wanateseka sana.
Kazi ya Mungu haina makosa halaf kumbuka ni wawindaji wazuri kukuzidi hata ww
 
Ingawa wenyewe wanadai eti maumbile hayo ya miguu yanawapa wepesi wa kukwea miti ile kinoma. serikali ya zimbabwe ilikataa kuwaweka kwenye kundi la walemavu (disabled).


Labda sababu ya Serikali kukataa ni kutokuwa na enough resources?!, kwa mfano wangekuwa Nchi zenye maendeleo surely wangepewa special treatment.
 
Kazi ya Mungu haina makosa halaf kumbuka ni wawindaji wazuri kukuzidi hata ww
kweli, kazi ya Mungu haina makosa. nimewaonea huruma jinsi wanavyoteseka kwani hata mimi sikumhonga Mwenyezi Mungu ili niwe fit...bali Rehema zake tu.
 
Back
Top Bottom