englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
When music was music! Hahaaa checki date hapo ni 24/7/1992. Ticket buku miaka hiyo nilikuwa na punk km Hilo la huyo dogo. Kiwanja empress cinema, Dah tumetoka mbali
zamani hoyeeeee
Nalog off
hapana sio wa zamani kihivyo ila niliwakuta wazee wakivaa hivi vitu,mambo ya zamani yalikuwa matamu sana tofauti na sasa.na wewe ni wazamani kwani?
hongera bana, mie sikubahatika kuwakuta matozi wa enzi hizo naishia kuona picha tuhapana sio wa zamani kihivyo ila niliwakuta wazee wakivaa hivi vitu,mambo ya zamani yalikuwa matamu sana tofauti na sasa. Nalog off
nawe nakupa pole.hongera bana, mie sikubahatika kuwakuta matozi wa enzi hizo naishia kuona picha tu
kama hukuwepo hata enzi za kina SuperDJ Bushdoctor toto masai,kalikali etc utakua umepitwa starehe.hongera bana, mie sikubahatika kuwakuta matozi wa enzi hizo naishia kuona picha tu
inaweza ikawa nilikuwepo lakini hao siwajui lol!kama hukuwepo hata enzi za kina SuperDJ Bushdoctor toto masai,kalikali etc utakua umepitwa starehe.
hahahaaa, hivi akuna anae tupilia swaga za ki old school sikuhizi na mimi ni suuze macho? sitaki kupitwa atii lol!nawe nakupa pole. Nalog off
hapana sio wa zamani kihivyo ila niliwakuta wazee wakivaa hivi vitu,mambo ya zamani yalikuwa matamu sana tofauti na sasa.
Nalog off
Shikamoo bi dada ila mwaka 1992 mimi nilikuwa nimeshaanza kucheza kombolela.Afu uwe unaniamkia. Mie 1992 nilikuwa naweza afford ticket ya kwenda disco kwa kusave pocket money yangu. Sema sasa ningekutana na kina kaka Kaizer ningepata kipondo.
weekend iliyopita farkhina,alitupia hiyo kitu,alipendezaje?hahahaaa, hivi akuna anae tupilia swaga za ki old school sikuhizi na mimi ni suuze macho? sitaki kupitwa atii lol!
haaa na tulivyokuwa wakali King'asti, no wonder ulienda unovisi kwa mwaka mmoja kabla hujawa na plan nyingine
Shikamoo bi dada ila mwaka 1992 mimi nilikuwa nimeshaanza kucheza kombolela.
Nalog off