Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Haiya 12pts game, Wenger upo?
Haiwezekani kumkosa haywood ndio matokeo yawe hivi.jamaa wamesinzia kama hawako kwao.
Na hao fans wa dallas hapo uwanjani utasema fans wetu wa emirates,kimyaaaa hamna hata kelel za kuwwapa moyo wwachezaji.