Hahahahah! lol! umenikumbusha ile game tuliokuwa tunaongoza 4 bila kisha tukatoa draw na kama kungekuwa na dkk 5 nyingine basi wangetuchapa 2 nyingine. Dallas wameshaondoka hawa sidhani kama watashinda huu mchezo wa leo, lakini michezo mitatu inayofuata watakuwa Dallas kama watatangangamara na kushinda yote basi watakuwa wamejiweka katika nafasi nzuri sana.
Hii series kushi nehi! Dallas hawawezi kuja kushinda gemu yoyote ile Miami. Na Miami hawawezi kushindwa gemu zote 3 huko Dallas.
Siamini kama Miami ni wazuri hivyo na siamini kama Dallas ni wabaya hivi. Wakati mwingine huwa nawaza labda yale maneno ya kwamba hii michezo matokeo yake hupangwa huenda ni ya kweli. Sina ushahidi ni speculations tu.