The oath of shame!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,924
Reaction score
95,735
Katika kiapo cha jana cha Maalim seif,Zitto alionekana mwenye aibu,fedhea na msongo wa mawazo.Hii inathibitisha kuwa anajua walilolifanya ni usaliti kwa wanachama wao ambao wamekufa,kuumizwa,kutengenezewa vilema vya kudumu,kuteswa na kufungwa kwa ajili ya kutafuta haki na wala siyo kwa ajili ya kutafuta maridhiano kupitia vyeo katika serekali bandia ambayo haina kibali cha wananchi.
 
Wapinzani Tz ni watu wa ovyo ovyo sana


Wewe ni mtu wa ajabu sana, Wapinzani wakiipinga CCM kwa mujibu wa katiba unawaona wabaya, wakiungana na CCM kwa mujibu wa katiba unawaita watu wa hovyo, kwako ni jambo lipi jema wapinzani wafanye ili wawe Wazuri??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…