The New York Times: Tanzanian leader sacks Spy Chief ahead of polls

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Wenzetu wenye uwezo wa kunyambua na kutazama mambo kwa akili ya ziada wanasema sababu ni Uchaguzi Mkuu wa mwakani...kumbe Dingi10 anasumbuliwa na hofu ya kupigwa chini..

Soma:

DAR ES SALAAM — Tanzanian president John Magufuli has sacked the head of the country's intelligence service, the presidency said on Thursday, a move seen as indicating a shake-up of the intelligence network ahead of elections next year.
Modestus Kipilimba was dismissed as director general of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) after three years in the post. No reason was given.
"President John Magufuli today appointed and swore in Diwani Athuman Msuya as director general of national intelligence," the presidency said in a statement.
Under Tanzanian law, the spy chief serves for a five-year term, which is renewable.
Msuya, whose appointment takes immediate effect, was previously head of the anti-corruption agency and was at one time the director of criminal investigations in the police force.
Sign up for The Interpreter
Subscribe for original insights, commentary and discussions on the major news stories of the week, from columnists Max Fisher and Amanda Taub.
SIGN UP

Kipilimba will be assigned other duties, the presidency said, without giving details.
The move could signal plans by Magufuli to shake up the country's intelligence service, one security analyst said.
(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by Duncan Miriri and)

Wenzetu wenye uwezo wa akili wa kutazama mambo kwa akili ya ziada wanasema sababu ni Uchaguzi Mkuu wa mwakani...kumbe dingi10 anasumbuliwa na hofu ya kupigwa chini..

Soma:

Umeileta kishabiki sana!
 
Wenzetu wenye uwezo wa akili wa kutazama mambo kwa akili ya ziada wanasema sababu ni Uchaguzi Mkuu wa mwakani...kumbe dingi10 anasumbuliwa na hofu ya kupigwa chini..

Soma:

Mackanackyyy,
Intelligensia za wenzetu huwa zinaona mbali sana kwa kila tukio linalofanyika kwenye nchi yeyote. Kwa mtazamo huu wa Wamerekani mimi naungana nao kabisaa..!! Uchaguzi wa Serikali za MItaa ni mwezi Novemba na Uchaguzi Mkuu ni 2020.
Kwa maana hiyo mabadiliko haya si bure. Kumbuka TISS(UWT) huwaga ni sehemu ya Tune ya Uchaguzi(NEC) nyakati za Uchaguzi ili kufanikisha USHINDI WA KISHINDO....!!!
 
Umeiandika kichadema zaidi hahaaaa yaani hao NYT wana akili zaidi yako? Msivo na akili wakati wenzenu wanawaza kuiletea nchi maendeleo nyie mnawaza uchaguzi ambao hata sera hamna.
 
Wenzetu wenye uwezo wa akili wa kutazama mambo kwa akili ya ziada wanasema sababu ni Uchaguzi Mkuu wa mwakani...kumbe dingi10 anasumbuliwa na hofu ya kupigwa chini..

Soma:

Rubbish,usalama wa taifa ndio wanapiga kura?
 
Wenzetu wenye uwezo wa akili wa kutazama mambo kwa akili ya ziada wanasema sababu ni Uchaguzi Mkuu wa mwakani...kumbe dingi10 anasumbuliwa na hofu ya kupigwa chini..

Soma:

Trump nae alimfukuza Bolton kwa sababu ya uchaguzi ujao?
 
Wenzetu wenye uwezo wa akili wa kutazama mambo kwa akili ya ziada wanasema sababu ni Uchaguzi Mkuu wa mwakani...kumbe dingi10 anasumbuliwa na hofu ya kupigwa chini..

Soma:

😂😂😂😂 Ni kweli huyu mnyakyusa wa ubaruku ni mwenzetu 👇👇👇👇👇

(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by Duncan Miriri and)
 
Mackanackyyy,
Intelligensia za wenzetu huwa zinaona mbali sana kwa kila tukio linalofanyika kwenye nchi yeyote. Kwa mtazamo huu wa Wamerekani mimi naungana nao kabisaa..!! Uchaguzi wa Serikali za MItaa ni mwezi Novemba na Uchaguzi Mkuu ni 2020.
Kwa maana hiyo mabadiliko haya si bure. Kumbuka TISS(UWT) huwaga ni sehemu ya Tune ya Uchaguzi(NEC) nyakati za Uchaguzi ili kufanikisha USHINDI WA KISHINDO....!!!
Senseless!
 
Kwa vile aliyeandika ni Mzungu bas ana akili...watanzania huwa tunafkri Kwa kutumia ubongo wa mende😁😁😁
😂😂😂 Imeandikwa na wabongo, jina la jarida ndio limemzuzua mleta mada

(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by Duncan Miriri and)
 
Back
Top Bottom