Walibya ni wajinga kupita kiasi.Wangekubali kuungwa mkono kumwondoa Gaddafi bila ya kulisambaratisha taifa lao.Nina uhakika Libya hakutakuwa na amani wala maendeleo maybe in the next 100 years.Pumbavu sana hao watu.Na hiyo elimu ambayo ilikuwa bure na social services,itakuwa replaced na ujinga pamoja na vifo.Yote hiyo ni kwasababu ya ukabila wao.Just imagine wote ni waislam lakini uislam umeshindwa kuwaunganisha,na badala yake ni ukabila umewatenganisha!ama kweli mijinga ndo iliwayo.Libya's newly-elected General National Congress has elected Mustafa Abu Shagour as the country's next prime minister.
Abu Shagour, the North African country's current deputy prime minister, beat Mahmoud Jibril in a second-round runoff held by the 200-seat national assembly on Wednesday, Reuters reported. zaidi hapa libya
Walibya ni wajinga kupita kiasi.Wangekubali kuungwa mkono kumwondoa Gaddafi bila ya kulisambaratisha taifa lao.Nina uhakika Libya hakutakuwa na amani wala maendeleo maybe in the next 100 years.Pumbavu sana hao watu.Na hiyo elimu ambayo ilikuwa bure na social services,itakuwa replaced na ujinga pamoja na vifo.Yote hiyo ni kwasababu ya ukabila wao.Just imagine wote ni waislam lakini uislam umeshindwa kuwaunganisha,na badala yake ni ukabila umewatenganisha!ama kweli mijinga ndo iliwayo.
Mkuu fuatilia kwa makini ndo utajuwa ni ukabila.Yani watu wa dini moja,lakini hilo halikutosha kuwaunganisha,kabila ndo imekuwa tatizo.It is something we need to learn from.Hata sisi kwenye taifa letu tuna matatizo.Lakini kama mwalimu alivyosema,ubaguzi unaanza kwa kitu kimoja,then unaendelea kwa mengine.Asilimia kubwa ya walibya ni waislam,lakini hilo halijatosha kuwaweka pamoja.Mmarekani yeye anachofanya ni kutake advantage of such things,siyo yeye aliwafinyanga ubongo,ni wenyewe kwa wenyewe wamefinyangana.Mkuu sidhani kama ni ujinga wa Walibya, binafsi naamini hakuna taifa tifa lililo salama kwa Marekani halimradi lina rasilimali ambazo Marekani inazihitaji.Kumbuka hata humu jamvini wana JF wengi waliunga mkono uvamizi na hata kuuawa kikatili kwa Gaddafi. Akili za binadamu ni sawa na udongo mbichi wa mfinyanzi. Waweza kufinyangwa kwa kutoa taswira ambayo mfinyanzi anaitaka. Bongo za Walibya zilifinyangwa, na zinaendelea kufinyangwa. Libya haitatulia sio kwa sababu ya tofauti ya makabila bali Marekani haitotaka itulie kama ambavyo imefanya Iraq na Afghanistan na bila ya shaka inaelekea Iran. Wakati vurugu zitakapokuwa zinaendelea Libya Marekani watakuwa wanajichotea mafuta.
Mkuu sidhani kama ni ujinga wa Walibya, binafsi naamini hakuna taifa tifa lililo salama kwa Marekani halimradi lina rasilimali ambazo Marekani inazihitaji.Kumbuka hata humu jamvini wana JF wengi waliunga mkono uvamizi na hata kuuawa kikatili kwa Gaddafi. Akili za binadamu ni sawa na udongo mbichi wa mfinyanzi. Waweza kufinyangwa kwa kutoa taswira ambayo mfinyanzi anaitaka. Bongo za Walibya zilifinyangwa, na zinaendelea kufinyangwa. Libya haitatulia sio kwa sababu ya tofauti ya makabila bali Marekani haitotaka itulie kama ambavyo imefanya Iraq na Afghanistan na bila ya shaka inaelekea Iran. Wakati vurugu zitakapokuwa zinaendelea Libya Marekani watakuwa wanajichotea mafuta.
Mkuu fuatilia kwa makini ndo utajuwa ni ukabila.Yani watu wa dini moja,lakini hilo halikutosha kuwaunganisha,kabila ndo imekuwa tatizo.It is something we need to learn from.Hata sisi kwenye taifa letu tuna matatizo.Lakini kama mwalimu alivyosema,ubaguzi unaanza kwa kitu kimoja,then unaendelea kwa mengine.Asilimia kubwa ya walibya ni waislam,lakini hilo halijatosha kuwaweka pamoja.Mmarekani yeye anachofanya ni kutake advantage of such things,siyo yeye aliwafinyanga ubongo,ni wenyewe kwa wenyewe wamefinyangana.
Mkuu sidhani kama ni ujinga wa Walibya, binafsi naamini hakuna taifa tifa lililo salama kwa Marekani halimradi lina rasilimali ambazo Marekani inazihitaji.Kumbuka hata humu jamvini wana JF wengi waliunga mkono uvamizi na hata kuuawa kikatili kwa Gaddafi. Akili za binadamu ni sawa na udongo mbichi wa mfinyanzi. Waweza kufinyangwa kwa kutoa taswira ambayo mfinyanzi anaitaka. Bongo za Walibya zilifinyangwa, na zinaendelea kufinyangwa. Libya haitatulia sio kwa sababu ya tofauti ya makabila bali Marekani haitotaka itulie kama ambavyo imefanya Iraq na Afghanistan na bila ya shaka inaelekea Iran. Wakati vurugu zitakapokuwa zinaendelea Libya Marekani watakuwa wanajichotea mafuta.
Mkuu huyo jamaa ndiye yule aliyekuwa ameshika bastola pembeni ya kichwa cha Gaddafi shortly baada ya kupigwa risasi.Hizo picha mbili chini ndo yeye,yule alikuwa mstari wa mbele,na yeye wamemkamata wakamtorture na risasi wakampiga,na yeye kafa kwa mateso kweli kweli,however Libya mpya ni noma,hakufai kabisa...One of the Libyan rebels credited with capturing ex-leader Muammar Gaddafi last year has been buried in his hometown of Misrata.
Link BBC News - Libya: Gaddafi 'captor' Omran Shaaban buried in Misrata
Halafu huyu mrembo inaonyesha anajuwa "mambo" mengi sana...
Orly Weinerman, an Israeli model and actress said that she was in a six-year relationship with Saif al-Islam Qaddafi. Weinerman said that Britain's former Prime Minister, Tony Blair, was Saif's "close friend" and it is time that the ex-PM to return some loyalty
Mkuu huyo jamaa ndiye yule aliyekuwa ameshika bastola pembeni ya kichwa cha Gaddafi shortly baada ya kupigwa risasi.Hizo picha mbili chini ndo yeye,yule alikuwa mstari wa mbele,na yeye wamemkamata wakamtorture na risasi wakampiga,na yeye kafa kwa mateso kweli kweli,however Libya mpya ni noma,hakufai kabisa...
Habari kamili hapo chini mkuu...Inasemekana alikuwa akitokea "vacation",waka mpin point wakati akiwa anaelekea Misrata,ilikuwa ni watu wa Bani Walid,alijaribu kujibu mapigo ya risasi,lakini risasi kadhaa zikampata(moja mgongoni),zilizopelekea yeye ku paralyze kuanzia kiunoni kwenda chini.Ndipo wakamkamata na kwenda naye huko Bani Walid na kukaa naye kwa siku 50 wakiwa wanamtorture.Aliombewa msamaha na kiongozi wa sasa(Rais wa Libya),wakamwachia,na akapelekwa ufaransa kwa matibabu zaidi lakini hakusavaivu.What goes around comes around i guess,it is the power of karma.Nasikitika mtandao si mzuri nimeshindwa kufungua hiyo link, si vibaya ukituhabarisha ilitokeaje???
Libya: Gaddafi 'captor' Omran Shaaban buried in Misrata
One of the Libyan rebels credited with capturing ex-leader Muammar Gaddafi last year has been buried in his hometown of Misrata.
Omran Ben Shaaban was kidnapped, shot and tortured by people who many in Misrata believe were supporters of the late dictator.
The 22-year-old died in France, where he was receiving medical treatment for his injuries.
His body was flown back to Libya, met by hundreds of mourners.
In Misrata, protesters called for the government to avenge his death.
Mr Shaaban was kidnapped by armed men in July and held for 50 days in the town of Bani Walid, a former Gaddafi stronghold that lies south-east of the capital Tripoli.
He was freed last week following the mediation efforts of Mohamed Magarief, Libya's interim leader and president of the ruling General National Congress (GNC).
Mr Shaaban arrived in Misrata with torture marks on his body and a bullet wound near his spinal cord, according to reports. He was taken to Paris for treatment, but died on Monday.
Hundreds of people gathered at the airport in Misrata to greet his body. His coffin was carried in a procession to a football stadium where funeral prayers were held.
Mr Shaaban came to prominence on 20 October last year when he was pictured at the scene as Col Gaddafi was dragged from a drainage pipe where he was hiding in Sirte.
The GNC mourned the "loss of a brave hero" and has said it will take all necessary measures to bring the perpetrators to justice, according to a statement issued on the official Lana news agency
http://abcnews.go.com/blogs/headlines/2012/09/gadhafis-captor-tortured-and-killed/Shaaban and three friends were attacked and kidnapped by Gadhafi loyalists in July near the southern town of Bani Walid, where many Gadhafi supporters still live. Relatives told the Associated Press Shaaban was shot twice and paralyzed from the waist down. When Libya's president Mohammed el-Megarif managed to get Shaaban and two of his friends released this month, Shaaban was "skin and bones."
"It was clear he was beaten a lot," his brother Abdullah Shaaban told the AP. "His entire chest was sliced with razors. His face had changed. It wasn't my brother that I knew."
habari kamili hapo chini mkuu...inasemekana alikuwa akitokea "vacation",waka mpin point wakati akiwa anaelekea misrata,ilikuwa ni watu wa bani walid,alijaribu kujibu mapigo ya risasi,lakini risasi kadhaa zikampata(moja mgongoni),zilizopelekea yeye ku paralyze kuanzia kiunoni kwenda chini.ndipo wakamkamata na kwenda naye huko bani walid na kukaa naye kwa siku 50 wakiwa wanamtorture.aliombewa msamaha na kiongozi wa sasa(rais wa libya),wakamwachia,na akapelekwa ufaransa kwa matibabu zaidi lakini hakusavaivu.what goes around comes around i guess,it is the power of karma.
Gadhafi's Captor Tortured and Killed - ABC News
Libya hawana serikali moja,kuna maeneo serikali hairushi mguu.Hata yule mtoto wa Gaddafi bado anashikiliwa na kundi la Zintan ambao wamekataa kumkabidhi kwa serikali hadi sasa.Hivi zile huduma za Gadaffi alizokuwa anawapa walibiya zimeongezeka au zimepungua?
Hivi zile huduma za Gadaffi alizokuwa anawapa walibiya zimeongezeka au zimepungua?
Mchuma janga hula na wa kwao!!!!wacha wamalizane wameyataka