The New Julius Nyerere International Airport Terminal 3

Capacity
7mn pax annually,

Plus 3mn pax in Terminal 2,

Plus 500 in Terminal 1,

Total capacity 10mn pax capacity Annual passengers,

The Largest Airport Terminal in East and Central Africa
Kufikia full capacity itachukua muda ,jitihada zifanyike kuwavutia wageni wengi kuja kutalii ,Na kuongeza uwezo wa shirika letu ili domestic flight nazo ziongezeke cause watu hukosa ticket sometimes. ...

Ingefaa zaidi waongeze pia KIA Ambayo hupata wageni wengi sana wanaoenda mbugani na kupanda mlima...

Napongeza jitihada zilizofanyika kufikia hatua hyo, kazi nzuri inatia moyo sana
 

You had a chance to design a new terminal from scratch, and you came up with such an ugly thing? 😂 😂 😂 😂 Apart from the exterior glass, inside it looks like a terminal from the 80s.
Can't even compare with Nairobi SGR.

This is how serious airports are building their new terminals.











 
Capacity
7mn pax annually,

Plus 3mn pax in Terminal 2,

Plus 500 in Terminal 1,

Total capacity 10mn pax capacity Annual passengers,

The Largest Airport Terminal in East and Central Africa

Congratulations to your government for being forward thinking.
Instead of having to build another terminal in 5 years, they built one that will reach capacity in 50 years. 😂😂
 

Hii ya uturuki ni world’s Largest Airport,
Leave it, Lete ya Kenya tuone
 
KIA imepanuliwa just last Year...we need Mwanza expansion na Good cargo terminal..na Mbeya expansion na Good cargo terminal ..itakuwa ni rahisi kwa Cargo planes kutua Mbeya na Mwanza ..na kuchukua Matunda ,Mboga na Samaki..Nakua mwanza wanajenga cargo terminal
 
Leta ya kenya buda, hata mchoro tu.

Tafuta michoro ya Greenfield JKIA. 100 times better than that shack you've constructed.
The designs and plans are ready. When the traffic numbers necessitate its construction, things will move fast.
 
Ungeweka yenu acha kushadadia ya instabul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…