The New Julius Nyerere International Airport Terminal 3

tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
9,671
Points
2,000
Age
28
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
9,671 2,000
Tafuta michoro ya Greenfield JKIA. 100 times better than that shack you've constructed.
The designs and plans are ready. When the traffic numbers necessitate its construction, things will move fast.
Eka yenu mbona maneno mengi sana
 
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Messages
2,752
Points
2,000
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2012
2,752 2,000
Ungeweka yenu acha kushadadia ya instabul
Yetu si mpya. Kwa nini unataka kucompare terminal ya 1970 na ya 2019?
La kushangaza ni kwamba mliyojenga inakaa terminal iliyojengwa 1980s.
 
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
2,704
Points
2,000
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
2,704 2,000
You had a chance to design a new terminal from scratch, and you came up with such an ugly thing? 😂 😂 😂 😂 Apart from the exterior glass, inside it looks like a terminal from the 80s.
Can't even compare with Nairobi SGR.

This is how serious airports are building their new terminals.

View attachment 1097902

View attachment 1097903

View attachment 1097904

View attachment 1097905

View attachment 1097906

View attachment 1097907
Pumbavu sana unatuletea picha za Istanbul - home to Europe's largest airline?
LETA ZA NAIROBI twende sawa!
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
9,073
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
9,073 2,000
Tafuta michoro ya Greenfield JKIA. 100 times better than that shack you've constructed.
The designs and plans are ready. When the traffic numbers necessitate its construction, things will move fast.
Hahahahaha, there is difference between appearance and technology, best airport is the one with high and modern technology, JNIA is high tech with cutting edge technology, like Olive Tambo Airport in South Africa.
 
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
2,394
Points
2,000
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
2,394 2,000
Tafuta michoro ya Greenfield JKIA. 100 times better than that shack you've constructed.
The designs and plans are ready. When the traffic numbers necessitate its construction, things will move fast.
Nitafute mchoro wa airport lenu la zamani, mm mtz nalipataje, ww leta hapa tulinganishe na hii shark ilojengwa hapa
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
9,073
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
9,073 2,000
Tafuta michoro ya Greenfield JKIA. 100 times better than that shack you've constructed.
The designs and plans are ready. When the traffic numbers necessitate its construction, things will move fast.
Ndio sababu mlishindwa kujenga ile Green field terminal, ninyi ni wazee wa makaratasi, too ambitious but zero on the ground. Sasa mnabaki kuwa na michoro pekee.
 
M

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,706
Points
2,000
M

Msapere

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,706 2,000
Capacity 10 million while only 2 million passengers use the facility annually. White elephant
Capacity
7mn pax annually,

Plus 3mn pax in Terminal 2,

Plus 500 in Terminal 1,

Total capacity 10mn pax capacity Annual passengers,

The Largest Airport Terminal in East and Central Africa
 
M

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,706
Points
2,000
M

Msapere

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,706 2,000
Technology gani???.. Mimi sioni anything modern hapo
Hahahahaha, there is difference between appearance and technology, best airport is the one with high and modern technology, JNIA is high tech with cutting edge technology, like Olive Tambo Airport in South Africa.
 
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Messages
2,752
Points
2,000
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2012
2,752 2,000
Ndio sababu mlishindwa kujenga ile Green field terminal, ninyi ni wazee wa makaratasi, too ambitious but zero on the ground. Sasa mnabaki kuwa na michoro pekee.
JKIA is not at capacity. We have more urgent uses for our money.
 
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Messages
2,752
Points
2,000
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2012
2,752 2,000
Nitafute mchoro wa airport lenu la zamani, mm mtz nalipataje, ww leta hapa tulinganishe na hii shark ilojengwa hapa
Tanzania hakuna Google?
 
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Messages
2,752
Points
2,000
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2012
2,752 2,000
Hahahahaha, there is difference between appearance and technology, best airport is the one with high and modern technology, JNIA is high tech with cutting edge technology, like Olive Tambo Airport in South Africa.
Cutting edge 😂 😂 😂 Unajua maana?
What is cutting edge hapo? Na OR Tambo is miles ahead ya hiyo kibanda mmejenga.

You have built the ugliest most basic new terminal.
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,262
Points
2,000
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,262 2,000
Hapa kuna "extension thinking"!
Wanasema utakuwa na capacity ya abiria 6,000,000 kwa mwaka
Ukigawa kwa miezi 12 = 500,000 kwa mwezi
Ukigawa kwa kila siku = 16,700 kila siku
Ukigawa kwa kila saa = 694 kwa kila saa

Swali: Je, kuna manpower na equipments za kufanya clearance ya abiria takribani 694 kwa saa!? Maana kwa sasa clearance ya Precision unakuta saa nzima na ikija Emirates moja tu ndio usiseme.
Na je, kama uwanja unaweza kuwahudumia itakuwaje kwa barabara (Pugu Road yetu) ili kuwaingiza na kuwatoa hao abiria hapo airport!? Tutakiane kila la kheri!
 
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Messages
406
Points
500
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2018
406 500
Kwan si kila siku tunasema serikali ikijenga kitu iangalie mradi utaishi kwa muda gani, sasa kama ingejenga kadogo kwahiyo mahitaji yakikuwa ndo tujenge tena nyingine au? Sasa si kula siku tutakuwa tunajenga tuu airport ya dar. Mi nafikir lengo ilikuwa ijengwe ambayo itadumu miaka 50 ijayo na bado ikidthi mahitaji
 
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Messages
406
Points
500
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2018
406 500
Cha muhimu ikidhi basic needs hayo ya uzuri sijui technology peleka kwenu huko hata ujenge iweje ww utabaki kuwa third world country zingine ni bwebwe tuu
Cutting edge Unajua maana?
What is cutting edge hapo? Na OR Tambo is miles ahead ya hiyo kibanda mmejenga.

You have built the ugliest most basic new terminal.
 
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Messages
2,752
Points
2,000
K

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2012
2,752 2,000
Cha muhimu ikidhi basic needs hayo ya uzuri sijui technology peleka kwenu huko hata ujenge iweje ww utabaki kuwa third world country zingine ni bwebwe tuu
Na nitaendelea kuwapongeza kwa kuona mbali.
Badala ya kujenga terminal itakayo jaa haraka alafu mlazimike kujenga mpya, mmejenga terminal ambayo itajaa in 50 years.
Congrats for your 10 million passengers capacity.
 
Forum statistics

Threads 1,295,921
Members 498,479
Posts 31,228,229
Top