The New Julius Nyerere International Airport Terminal 3

game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
4,862
Points
2,000
Age
49
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
4,862 2,000
Hapa kuna "extension thinking"!
Wanasema utakuwa na capacity ya abiria 6,000,000 kwa mwaka
Ukigawa kwa miezi 12 = 500,000 kwa mwezi
Ukigawa kwa kila siku = 16,700 kila siku
Ukigawa kwa kila saa = 694 kwa kila saa

Swali: Je, kuna manpower na equipments za kufanya clearance ya abiria takribani 694 kwa saa!? Maana kwa sasa clearance ya Precision unakuta saa nzima na ikija Emirates moja tu ndio usiseme.
Na je, kama uwanja unaweza kuwahudumia itakuwaje kwa barabara (Pugu Road yetu) ili kuwaingiza na kuwatoa hao abiria hapo airport!? Tutakiane kila la kheri!
Hoja zako zina Mashiko,
Nadhani wapo humu wanapita,
maana kuna wakati pale kwenye vibanda vineandikwa Passport control huwa ni kero sana,
Niliona ajira zimetangazwa, Hope watawapa na Training pia.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
11,696
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
11,696 2,000
Hapa kuna "extension thinking"!
Wanasema utakuwa na capacity ya abiria 6,000,000 kwa mwaka
Ukigawa kwa miezi 12 = 500,000 kwa mwezi
Ukigawa kwa kila siku = 16,700 kila siku
Ukigawa kwa kila saa = 694 kwa kila saa

Swali: Je, kuna manpower na equipments za kufanya clearance ya abiria takribani 694 kwa saa!? Maana kwa sasa clearance ya Precision unakuta saa nzima na ikija Emirates moja tu ndio usiseme.
Na je, kama uwanja unaweza kuwahudumia itakuwaje kwa barabara (Pugu Road yetu) ili kuwaingiza na kuwatoa hao abiria hapo airport!? Tutakiane kila la kheri!
Uwanja hata haujafunguliwa bro, kila kitu kinakuja.
 
much know

much know

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
2,327
Points
2,000
much know

much know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
2,327 2,000

Huu ndo ubavicha au ujuaji?
 
much know

much know

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
2,327
Points
2,000
much know

much know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
2,327 2,000
Na nitaendelea kuwapongeza kwa kuona mbali.
Badala ya kujenga terminal itakayo jaa haraka alafu mlazimike kujenga mpya, mmejenga terminal ambayo itajaa in 50 years.
Congrats for your 10 million passengers capacity.
Usiumie na nyie mkiweka juhudi mtafika bro sahii terminal 2 inauwezo wa kuhudumia abiria million 2 lakini inahudumia abiria milioni 4 na nusu
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
35,264
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
35,264 2,000
Hapa kuna "extension thinking"!
Wanasema utakuwa na capacity ya abiria 6,000,000 kwa mwaka
Ukigawa kwa miezi 12 = 500,000 kwa mwezi
Ukigawa kwa kila siku = 16,700 kila siku
Ukigawa kwa kila saa = 694 kwa kila saa

Swali: Je, kuna manpower na equipments za kufanya clearance ya abiria takribani 694 kwa saa!? Maana kwa sasa clearance ya Precision unakuta saa nzima na ikija Emirates moja tu ndio usiseme.
Na je, kama uwanja unaweza kuwahudumia itakuwaje kwa barabara (Pugu Road yetu) ili kuwaingiza na kuwatoa hao abiria hapo airport!? Tutakiane kila la kheri!
Abiria 694 ni kama ndege tatu kubwa au nne. Kwa facilities za huu uwanja unafikiri watashindwa kuhudumia ndege nne ndani ya saa moja? Hii terminal two kuna siku zinatua pamoja( within half hour) Emirates,Qatar na SAA na wanazi-handle na ufinyu wote wa Terminal two itakuwa hii terminal 3.
Halafu umetaja barabara unafikiri hao watu 600 wote wataondoka na kuingia hapo airport muda huo huo mmoja? Unajua Nyerere road inahudumia watu wangapi au magari mangapi kwa saa au siku hadi uhofie abiria wa ndege tatu?
Btw BRT itaingia hadi terminal 3 kwa wamefikiria yote hayo
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,262
Points
2,000
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,262 2,000

Umeurgue kimantiki na asante kwa hilo.
Tunaongelea abiria 600 kwa saa kwa rate ya 24 hrs nonstop maana hizo ndege ulizozisema sanasana huwa ni kuanzia saa 8 mpaka 10 mchana na baada ya hapo ni miguu juu. Express highways ya kuingilia airpors nyingi zinakuwa ni kama hii Pugu yetu mara 3 na mara nyingi zinakuwa na feeder roads. Kwa hii terminal tuliyonayo sasa ni mara ngapi umeona abiria wanadrop kwenye magari na kupanda bodaboda ili kuwahi ndege! Hivyo hivyo mtu mwenye appointment anatua na ndege saa moja kabla lakini anakarishwa njiani masaa mawili!!
 
Mkuu unafikiri hii Terminal 3 kwanini imejengwa? In fact imechelewa, ilitakiwa ijengwe 10 years ago kwasababu walijua muda huo kutahitajika Terminal kubwa zaidi ya 2. Hivyo basi hii mpya ipo hapo kuhudumia rate hio uliosema mwaka mzima. Na kwa mipango iliopo 2030 ilitakiwa ufanyike upanuzi mwingine, lakini kwa jinsi hii ilivyochelewa hilo nadhani ni 2040.

Foleni zipo everywhere, hata Heathrow ukifanya mchezo unakwama M25 au M4 kwenye foleni,solution ya hii wenzetu wana metro,subway etc. Kwa kuona hilo ndio maana mwendokasi ipo kwenye plan njia hio na light rail imezungumziwa mara kadhaa. Na kama tungekuwa na uwezo wangenjenga vyote kwa pamoja.
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,262
Points
2,000
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,262 2,000
Huu ndo ubavicha au ujuaji?
Ukisema hivi unakosema, ndio maana nikasema extension thinking. Tunavyofikiri uwepo wa uwanja tusije kudhani ndio kila kitu kinaishia hapo bali unaambatana na vitu vingine. Hapo kumbuka katika eneo letu hili Kigali wanataka kuwa hub na nasikia wanajenga uwanja mpya, Nairobi ndio Usiseme na uliiona ile Emirates 'iliyopotea njia' kuja Dar kila mtu alivyoishangaa. Kwa hiyu bado tuna challenges na ni vizuri kuznzia hapa kuziona!
 
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Messages
409
Points
500
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2018
409 500
Huo unaitwa wivu bwana ww, ni sawa eti nina hela ya kununua prado ila nisinunue kwa sababu mi mwembamba eti ni subiri mpaka niwe na kitambi, nunua kitambi kitakuja mbele, kwetu huku tunapika kabla hatujasikia njaa na sio usipike mpaka uhisi njaa huo ndo ulofa, kwahiyo ndo tushajenga
Na nitaendelea kuwapongeza kwa kuona mbali.
Badala ya kujenga terminal itakayo jaa haraka alafu mlazimike kujenga mpya, mmejenga terminal ambayo itajaa in 50 years.
Congrats for your 10 million passengers capacity.
 
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
1,866
Points
2,000
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
1,866 2,000
Tanzania ramani na kitu kinachojengwa huwa ni tofauti nashindwaga kuelewa sijui tumelogewa wapi??????
 
Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,924
Top