Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Idd Mubarak Ndugu wote wa jf.......
New couple in town[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndio nani hao?
Wabongo bhana [emoji3]
Unaelewa maana ya sura?wema nae kapost pic ya dai sema hajatoa sura ya chibu katoa sura ya chibu kuanzia kidevu na sut
picha basi mkuuwema nae kapost pic ya dai sema hajatoa sura ya chibu katoa sura ya chibu kuanzia kidevu na sut
Ndo mwenyewe[emoji12] [emoji12] [emoji12] zari ajipange kurudi kwaoNi DIAMOND kaweka hilo tangazo ........ ngoja nikaangalie.
huyo ni kiba