The Nape Question!

Ruge kutumia airtime ya kutosha kwenye kipindi kuongelea issue ya kituo chake kuvamiwa iliali mvamizi hajapewa air kuzungumzia kwa nini amevamia...nayo tunaiita balancednews?ooooohhhhhh Tanzania ya wadku na wasanii
Ulitaka mtuhumiwa mvamizi aitwe na aliyowavamia? Aache kudeka atoe maelezo yake kwa wandishi wa habari.
 
Am not sure kama umemsikiliza Waziri Mkuu aliyewahi kukaa madarakani kwa muda mrefu kuliko wote. Just if ungekuwa umemsikiliza ungejiuliza ni nini maana ya maximum level of competence na maana ya level of incompetence. Jiulize unakaa na std seven failure wa nini?At afanye kitu gani cha ajabu kama dc or RC? Anao uwezo gani wa ku reason?Hata mfalme Sulemani alimwambia Mungu anachokitaka kwake ni hekima ili aweze kuwahukumu kwa haki wana wa Israeli. Je huyo mtu wenu mnayemng'ang'ania (sijui atawapa nini kitamu hivyo mpaka mnachanganyikiwa) anayo hekima?
 
Kwahiyo Leo Nape kawa mbaya? With all that sacrifices kwa chama cha majambazi? Kuweni na shukrani kidogo
Eeeh lazima awe mbaya kwa kuwa kamgusa the Queen kama yule wa mchwa au nyuki. Ukimgusa tu utadhambuliwa kila kona
 
Yaani jambazi apewe airtime kueleza kwanini alivamia? Za wapi hizo?
Hiyo ni natural justice ndio maana imeundwa tume ikamuulize wakati ushahidi wa clip ya cctv unaonyesha bayana
 
Kusimania ukweli ndo mshampa majna yote hayo? Daah kweli bmadamu ni wachachei
 
Ruge kutumia airtime ya kutosha kwenye kipindi kuongelea issue ya kituo chake kuvamiwa iliali mvamizi hajapewa air kuzungumzia kwa nini amevamia...nayo tunaiita balancednews?ooooohhhhhh Tanzania ya wadku na wasanii
Mvamizi anapewa au anajichukulia tu airtime!!?
With all resources bado anasubiri kupewa!!?
Unaamini kusingekuwa na mushkheri angesubiri kupewa airtime!? Unless humwongelei RC wa Dar!
 
Sifa za magu
1.kukurupuka
2.kumlinda bashite
3.kupiga ngoma
4.kuangalia shilawadu
5.kuminya demokrasia
6.uchwara
7.vitisho
8.Vuvuzela
Ndio Rais,chaguo la watanzania kwa miaka 10....hao wezi wastaarabu kaa nao
 
Miaka hii itakwisha mukiwa mumeumizwa! Hebu taja sifa za rais aliyepita tuone!
Vasco Dagama, Smilinig boy, Msikivu asiyejibu, Mpenzi wa wanamziki hasa Diamond, Diplomat guy aliyeweza tembea na kutembelewa na viongozi wenye ushawishi duniani, Mlegeza uchumi wa nchi lakini mleta fursa kwa wanaoweza ku lobby, mpenzi wa dini yake na mhamasishaji wanawake kujisetiri vichwa na miili yao mfano uhamiaji bila mikono mirefu na suruali kubwa huingii au sketi ndefu. Duh hujalidhika tu?
 
Nape ni hopeless kama Mbowe
Kama siyo Nape kuwa ngangari wakati anagombea ukatibu mkuu wa umoja wa vijana kuhusu Lowasa na jengo lile, nadhani leo hii ungekuwa unaimba wimbo mwingine. Tuwe tunasoma historia za watu tunaowaongelea kabla ya kuja humu. Tress wamefanya nini kwa nafasi walizokuwa nazo ten years kabla.
 
Mnashindwa kumsema anaewavuruga mnabaki kukomaa na hawa wengine

Mwambieni ukweli mkuu wenu,hii nchi ina sheria zake ,aache kumbeba yule mvunja sheria kwa kificho cha vita ya madawa

Hivi Bashite amekanusha kuvamia clouds?
 

Wewe unajuaje anachotaka kufanya Nape? Yeye ndio alianza kutangaza kwenda clouds, kuunda tume, sasa ulitaka afanyeje kama waziri mwenye dhamana eneo hilo?
Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Anasubiri matokeo ya yume aliyounda then atatoa maamuzi.
 
Ukitaka kuona umuhimu wa nape, ajiudhuru au ahame chama kama hamtaomba poo
 
Kwahiyo Leo Nape kawa mbaya? With all that sacrifices kwa chama cha majambazi? Kuweni na shukrani kidogo
Brother ushauri mzuri, ungewai kuwashauri ata CHADUMAA kwa matusi waliomtukana Dr Slaa Leo ningeona umezungumza kutoka moyoni
 
nape hakuna chochote alichofanya hata akiondoka CCM leo hakuna atakaemkumbuka....huo uwaziri amebebwa tu
 
Ningefunga kesi yote baada ya Raisi ya nchi kusema alivyosema, kwa maana yeye ndiyo Mkuu wa Serikali!
Barbarosa nilichogundua ni kwamba wewe ni Mwana CCM kindakindaki yaani yule wa kalee bendera fuata upepo..wewe kama mimi japo mimi nilianza zamani sana chamani toka enzi za Mwalimu..alichofanya Nape kwa mujibu wa Chama ni kosaa..ameenda kinyume na FIKRA za Mwenyekiti wetu. Ingebidi awaze Mwenyekiti anafikra gani kuhusu hili jambo ndio aongee na kuunda Time. Ila hajafanya hivyo ni msaliti wa Chama..😕😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…