The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,596
- 18,147
That's correct!!Raisi wa nchi ndiyo Mkuu wa Serikali na kauli ya Raisi ni kauli ya Serikali na haijalishi kama ni sawa au siyo sawa, ila wewe kama muajiriwa wa Serikali unapaswa kutii kauli ya Raisi, haimaanishi kwamba haupaswi kupinga lkn unapaswa kupinga ukiwa nje na siyo ndani, ndiyo Dunia inavyokwenda, hivyo tamko la Raisi lilipaswa kumaliza kila kitu kuhusu hii ishu kuhusiana na Nape, na kama angeona siyo haki na alistahili kusema basi alipaswa ajiuzulu, hii ndiyo kawaida na ni Dunia nzima!
Hakuna upuuzi wa lugha kama huwo we kama unajua kizungu andiki uzi wako kizungu kama hujui utachekwa na nanani? kwani lugha hiyo ina husiana na mzazi wako yupi? Zaidi utumwa wa kuendelza tamaduni zisizo kuwa na kichwa wala miguu kwetu.
Bashite alienda kufanya nini office za watu saa sita za usiku na askari wenye silaha za kivita? Tuanzie hapo kwanza.Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Alaa kumbe nchi hii wagojwa tupo wengi.
Unahakika hayo hayakufanywa?Mkuu kuandika hivi kuhusu NAPE unakosea sana huyu ni mtu muhimu sana ndani ya chama.......Hapa la kumlaumu NAPE au MWIGULU juu ya MAKONDA ni wao kushindwa kuona MAKONDA ana kosea na kuamua kumwita pembeni kama MDOGO WAO na kukaa nae chini na kumpa USHAURI kwa yale wanayoona anakosea na si wao especially NAPE kuja adharani na kumkosoa MAKONDA as if si VIONGOZI toka CHAMA kimoja...hapa ndipo NAPE ANAPOKOSEA......
Makonda bado si mjuzi kisiasa UKIMLINGANISHA na level alizofikia NAPE AU MWIGULU......
Utaalam wake ni ku forge vyetiMkuu tusaidie na Makonda nae utaalamu wake ni nini?.
That's correct!!
Tatizo tamko limekuja baada ya action. Kama Nape angeyafanya haya baada ya tamko sidhani kama mpaka sasa angekuwa ni Waziri. Ndiyo maana nimesema Rais kwa vile alikuwa na mtazamo tofauti basi angemzuia Nape asiende Clouds!!!
Boss the English used in the phrase is correct perhaps your understanding of English is mediocre.The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??
Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?
Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Divorced...ruge used to be ccm's sweetheart,what happened!!!!!!
Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
wampe kuongoza msondo music band. hii ni institution kwa umri inamzidi. wengi tunaipenda msondo music band.Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Wewe ni MNAFIKI NA PENGINE PUNGUANI. UNajua huko kwenye chama kuna watu wa ajabu sana mpaka unashangaa kama wanaweza hata kuendesha familia zao.Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Acha Nnauye afanye kazi yake serikali yetu sio ya majaribio.Mkuu kuandika hivi kuhusu NAPE unakosea sana huyu ni mtu muhimu sana ndani ya chama.......Hapa la kumlaumu NAPE au MWIGULU juu ya MAKONDA ni wao kushindwa kuona MAKONDA ana kosea na kuamua kumwita pembeni kama MDOGO WAO na kukaa nae chini na kumpa USHAURI kwa yale wanayoona anakosea na si wao especially NAPE kuja adharani na kumkosoa MAKONDA as if si VIONGOZI toka CHAMA kimoja...hapa ndipo NAPE ANAPOKOSEA......
Makonda bado si mjuzi kisiasa UKIMLINGANISHA na level alizofikia NAPE AU MWIGULU......
Mm, ww na Nape , sote tuna wajibu wa kuheshimu saaana Rais wetu.Kwa hiyo Nape anapingana na Raisi wa nchi ambaye ndiye Mkuu wa Serikali na muajiri wake?
Ndiyo, hasa linapokuja watu ambao mnafanya kazi kwa muajiri mmoja, kulikuwa na namna nyingi kwa maoni yangu ya kulishughulikia hili sasa picha iliyopo kwangu ni kwamba Nape anapingana na Serikali ambayo ndiyo imemuajiri kwa maana kauli ya Raisi ni kauli ya Serikali, ...