Sifa za maguKwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Nape ana mapungufu yake lakini sifikirii ktk CCM Kama kuna mwenyewe uwezo wa kufikiri Na kuishi ktk misingi ya uadilifu Na kutenda haki bila kuangalia maslahi ya chama kumshinda nape. Kwa ufupi uwezo wa nape wa kufikiri ni mkubwa . (Ukitaka uishi Na CCM au uwe CCM ni lazima ujijaze UJINGA kwanza bila hivyo hutoweza kuishi nao au kuwa nao ktk chama ) inaelekea nape yupo ktk kujivua UJINGA.Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Mmmmh! Hapana! Kila aina ya mbwa ana uwezo wake. Kosa ni kumfuga Afghan hound halafu unamlazimisha afanye kazi kama German shepherd. Ukimtumia mtu ktk kampeni akafanikisha kazi hiyo, siyo lazima umpe uwaziri na aweze. Ni makosa ya wazi.Kwahiyo Leo Nape kawa mbaya? With all that sacrifices kwa chama cha majambazi? Kuweni na shukrani kidogo
Miaka hii itakwisha mukiwa mumeumizwa! Hebu taja sifa za rais aliyepita tuone!Sifa za magu
1.kukurupuka
2.kumlinda bashite
3.kupiga ngoma
4.kuangalia shilawadu
5.kuminya demokrasia
6.uchwara
7.vitisho
8.Vuvuzela
kawaida kwa wanasiasa umesahau yaliyo mkuta zittoKwahiyo Leo Nape kawa mbaya? With all that sacrifices kwa chama cha majambazi? Kuweni na shukrani kidogo
Mchukueni basi mbona mnaweweseka sana?Leo Ndio Mnaona Afai umesahau walivyozunguka na Kinana Nchi nzima
Sifa za magu
1.kukurupuka
2.kumlinda bashite
3.kupiga ngoma
4.kuangalia shilawadu
5.kuminya demokrasia
6.uchwara
7.vitisho
8.Vuvuzela
Ajiandae kuwa afisa tawala!Kwahiyo Leo Nape kawa mbaya? With all that sacrifices kwa chama cha majambazi? Kuweni na shukrani kidogo
Wewe ndo kila.za sasa kwa taarifa yako. Siyo unaropoka tu.The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??
Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?
Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Mbona uyu mkuu n bavichaThe Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??
Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?
Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Ungekuwa wewe ungempa?au ni ushabiki maandazi tu umekujaaRuge kutumia airtime ya kutosha kwenye kipindi kuongelea issue ya kituo chake kuvamiwa iliali mvamizi hajapewa air kuzungumzia kwa nini amevamia...nayo tunaiita balancednews?ooooohhhhhh Tanzania ya wadku na wasanii
ruge used to be ccm's sweetheart,what happened!!!!!!Ruge kutumia airtime ya kutosha kwenye kipindi kuongelea issue ya kituo chake kuvamiwa iliali mvamizi hajapewa air kuzungumzia kwa nini amevamia...nayo tunaiita balancednews?ooooohhhhhh Tanzania ya wadku na wasanii
Du!! ama kweli tenda wema uendezako leo hii wewe purukututu ukijikuna unapukutika ukurutu ... ni wa kumwambia Nape maneno haya!!!Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Si ndio wameaminiwa na mkuu wako?Au unampinga wakati yeye amesema hapingwi?Halafu hilo swali ungelielekeza kwa makonda piaLakini Magufuli kama Raisi wa Nchi ameshafikia zenith ya career yake, hakuna juu ya hapo hivyo ni sawa, shida ni hawa wa huku chini wasio na profession yoyote isipokuwa majungu, uongo na fitina na bado umri ni mdogo, unafanya nao nini?
Kajifunze kuandika kwanzaMiaka hii itakwisha mukiwa mumeumizwa! Hebu taja sifa za rais aliyepita tuone!
Ahsante kwa hilo swali.Maana hata mimi nilitaka niulize hivyo hivyo.Yaani jambazi apewe airtime kueleza kwanini alivamia? Za wapi hizo?