The most serious question kwa Utumishi: Uhakiki unakoma lini?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,137
17,904
Uhakiki wa watumishi hewa, hai na hoi unaisha lini? Wafanyakazi wanahitaji kupandishwa madaraja na kuongezwa mishahara.

Wasomi wanahitaji kuajiriwa kwenye sekta za umma. Kuna ukimya mkubwa tangu zoezi lianze mwaka jana.

Zoezi la uhakiki linaisha lini rasmi?

Nakala kwa:

Waziri Anjela Kairuki na Viongozi wengine wanaohusika na suala hili. It is a serious matter!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Kuna sehemu walijichanganya kuweka tarehe na kusitisha ajira eti mpaka uhakiki ukamilike.
Uhakiki ni zoezi endelevu kwa sababu watumishi kila siku wanastaafu,wanakufa,wanaacha kazi na wengine wanafukuzwa.
 
Back
Top Bottom