The most powerful person in this country

The most powerful person in this country


Francis Cheka.

Ana nguvu sana, amepiga watanzania wote.
 
Nyerere alikuwa na bahati kutawala zama za chama kimoja, nani aliyekuwa na ubavu wa kumkosoa? Wengi waliompinga aliwaweka ndani, halafu wasema powerful person! Alikuwa dikteta tu!

Mbona Warioba alimpinga alipotaka kumpa uwaziri mtu asie na sifa....warioba akamleleka hadi sokoine akasaidie kupinga mwalimu na wote walimpinga..... hakuwaweka ndani!
Mzee Edwin Mtei aliwahi kupingana na Mwalimu hakuwekwa ndani.....!

Acha stori za kwenye vijiwe vya kahawa wewe....mnadanganyana tu....kwa hiyo hata JK mtu ambaye haja wahi kuandika hata sentensi moja kuhusu maendeleo angeongoza nchi wakati huo wewe unaamini angekuwa powerful? mbona hamkirii jamani?
 
The most power? Despite of? White house? Lol

Alikuwa poweful mpaka anafariki, labda hujui hata Mkapa alipata Uraisi kwa ushawishi wa Nyerere. Ukumbuke wakati huo alikuwa ameshastaafu Uraisi miaka 10 iliyopita. Sasa Udikteta upo wapi hapo.
 
hakuna mtu mwenye nguvu bali kuna kitu chenye nguvu nacho ni HELA tu.... nchi hii hata ufanye nini ukiwa na hela zitaundwa tume za uongo mwisho wa siku linapotelea hewani. we hushangai kwa nini hata wananchi wanaangalia anaye wapa chochote ndo wana mchagua....maskini akipita basi nyuma yake kuna tajiri kamsimamia
 
This is the most powerful person, he rules many

konyagi1.png
 
hakuna hata mmmoja, kwa maana kama angekuwepo basi nchi insingekwenda hovyo hovyo kama sasa, watu wanajiamulia na kufanya wanavyotaka kwa maana hakuna wa kumwogopa.
 
Back
Top Bottom