Elections 2010 The Most Influential Tanzanian Alive?

Wengi wao wanaenda kushuhudia atakavyo anguka tena, wanataka waone mweleka live.
 
There is empirical evidence that among knowledgeable Tanzanians, Kikwete has just 20% support while Slaa has 75%. That was established via opinions polls on the Daily News and Jamiiforums websites.

Mtu akienda mkutano wa CCM kupokea kanga au t-shirt ya bure wewe unachukulia kwamba anampenda Kikwete? Anapenda hongo za Kikwete, ila kura ataweza kumpa Slaa. Anafahamu fika ni fedha za uma zimechotwa kununulia hizo kanga na vitenge.

Chief-
You call unscientific polls empirical evidence? Look, you seems to have a very elitist attitude, that those who are uneducated are stupid and ignorant. Kwamba watu wa vijijini can be easily deceived by CCM and they know nothing better when comes to choose their leaders. This fallacy is so pervasive amongst many Chademanistas humu ndani. Watu wa vijijini aren't as stupid as you might think, and you guys need to court them appropriately and not disregard them as stupid. Na hata watu wenye elimu zao most of them aren't Chadema as you are suggesting. As matter of fact mtu mwenye uwezo wa kufikiria sana hawezi kumpa nchi Slaa, Mzee Said Mzee, na Waziri mkuu Mbowe. Its not a good line up for leadership that we need. Compared to Kikwete, Gharib, na Pinda. I wish you guys can get 100 MP seats though. That would be good for the country.
 
AISEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
The day alipoanguka mungu alikuwa anataka kutuonyesha tuwe makini yasije kutukuta ya Nigeria
 
Chief-
You call unscientific polls empirical evidence? Look, you seems to have a very elitist attitude, that those who are uneducated are stupid and ignorant. Kwamba watu wa vijijini can be easily deceived by CCM and they know nothing better when comes to choose their leaders. This fallacy is so pervasive amongst many Chademanistas humu ndani. Watu wa vijijini aren't as stupid as you might think, and you guys need to court them appropriately and not disregard them as stupid. Na hata watu wenye elimu zao most of them aren't Chadema as you are suggesting. As matter of fact mtu mwenye uwezo wa kufikiria sana hawezi kumpa nchi Slaa, Mzee Said Mzee, na Waziri mkuu Mbowe. Its not a good line up for leadership that we need. Compared to Kikwete, Gharib, na Pinda. I wish you guys can get 100 MP seats though. That would be good for the country.

Wewe bana acha kuchekesha walionuna. Hizi polls zinaelezea maoni ya watu walioshiriki kwenye hizo polls. Ni unscientific tu kwa sababu zinaonesha CCM HAIPENDWI..it hurts u kwa sababu ambazo mimi na wewe tunazijua, lakini kusema sio scientific is BIG JOKE.

Kwa mazingira ya Tz ambapo umeme unawafikia asilimia 15 tu ya watu, na pengine kwa makadirio asilimia 1 tu ya watu ambao wanaka-exposure ka kutumia kompyuta, yes, jf ni mahala ambapo, wanakutanika watu ambao at least wamefuta ujinga na wapo current na ishu zinazoendelea duniani. THATS A FACT. Its elitism in a good way. It hurst for CCM follower lakini ndio ukweli kwamba class hii ya watz kwa kiwango kikubwa HAINA UFAGIO KWA CCM. Sio kosa lao, ni la CCM yenyewe ndio imejitengezea mazingira hayo kwa kushindwa kuongoza.
 
Ustaadh---we might disagree on a lot of things, but we should be able to agree kwamba JF poll and Daily News poll are unscientific and inaccurate. I don't deny kwamba the cyberworld (not the real one) prefer Slaa than Kikwete, but that doesn't allow us validate an inaccurate poll.

If you ain't a member of JF, you can vote on that poll as many time as you wish. And even if you are a member, but if you haven't logged in yet--you can still be able to vote as many time as you wish. Kaka, sasa where is the validity of that poll.
 
Ni kweli kwamba kuna serious flaws..lakini it is what is there and what we have, kibongobongo. Kama kuna mtu ana-abuse hiyo polling inaondoa ladha lakini we still get the larger picture..
 
-plHR2O8Ue4

Masanilo, unaweza kunisaidia yule aliyesema "Tulieni,tulieni, CCM OYEE!" wakati mkulu ameshalamba chini alikuwa anamaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Well said mkuu na kwakuongezea sababu ni hizi hapa:-
a. Njaa za waliopo hapo.
b. Ulafi wakiwa na tamaa wakimshangilia mzee atawafikiria.
c. Kujipendekeza tu ili mtu apate sifa.
d. Safari za ulaya.
e. Udini.
f. ...........

Wanapokosa hoja na kuongea vioja!! Sasa suala la udini linatoka wapi hapo mkuu? kv amevaa kanzu; au? Mkuu; am afraid kwamba wewe ni miongoni mwa kansa za kutisha nchi hii ktk suala zima la kuendekeza mambo ya kipuuzi kama UDINI!
 
Chief-
You call unscientific polls empirical evidence? Look, you seems to have a very elitist attitude, that those who are uneducated are stupid and ignorant. Kwamba watu wa vijijini can be easily deceived by CCM and they know nothing better when comes to choose their leaders. This fallacy is so pervasive amongst many Chademanistas humu ndani. Watu wa vijijini aren't as stupid as you might think, and you guys need to court them appropriately and not disregard them as stupid. Na hata watu wenye elimu zao most of them aren't Chadema as you are suggesting. As matter of fact mtu mwenye uwezo wa kufikiria sana hawezi kumpa nchi Slaa, Mzee Said Mzee, na Waziri mkuu Mbowe. Its not a good line up for leadership that we need. Compared to Kikwete, Gharib, na Pinda. I wish you guys can get 100 MP seats though. That would be good for the country.

The growth of Tanzanian middle class is coming up with miracles in our way of thinking.:confused2:
 
Luko!Unajieleza wewe ni nani.Safi

Karibu watu wengi wlibebwa kwa magari na daladala zilikodiwa kariakoo ili watu waende kwenye mkutano. Hakuna aliyekuja kwa ridhaa yake hapo, kilicho wapeleka ni njaa, kwai walipewa wengine 20,000 na wengine kutegemea ujanja wao. Madereva teksi walikuwa wanpewa kila mmoja elefu 20,000 na kuwekewa mafuta. Hadanganyiki mtu. Dr. Slaa anawaendesha
 
Back
Top Bottom