The Most Influential Persons in History

The Most Influential Persons in History

kuwa na ushawishi inategemeana na mazingira kwa wakati-mfani jamii/mtu mwenye njaa na shida ukimshawishi kitu fulani kipindi hicho ni lahisi kushawishika.
pia labda kuna gonjwa limetokea ktk jamii fulani likakosa tiba ya kisayasi ikatokea mtu akawaaminisha watu kuwa ukishiriki ktk imani fulani basi gonjwa lako litaondoka na ikawa hvyo basi mtu huyo atahesabika kama ana ushawishi mkubwa
Yumkini hukusoma angalau sura ya utangulizi ya hicho kitabu au hukuelewa iwapo umesoma.
 
Vigezo vilivyotumika kupanga wa kwanza hadi wa mwisho vinatia shaka
 
Plato ni msomi wa kigiriki alikuwa anatembea na chemli mchana wa jua kali, huyo sio mroma Pilato aliyetoa hukumu ya Masiha.
Kitendo cha kutembea mchana na chemli hakikua routine ban...kumbuka kua alifanya vile ili ku prove kubusu ukweli.
 
Inamaana babu zetu wenye sayansi ya kuruka angani dar to mwanza kwa dakika kadhaa hawamo kwenye hiyo orodha....
 
Lakini bado tunaruhusu tafiti zingine zinazopinga utafiti huu.
 
Back
Top Bottom