mKuu kuna martin Luther yule aliyeanzisha madhehebu ya kilutheri (protestant). Martin Luther - Wikipedia, thefree encyclopediaLuther King Jr
Martin Luther mwasisi wa ulutheri, hakuwa mweusi..
dudus
...
"My choice of Muhammad to lead the list of the world's most influential persons may surprise some readers and may be questioned by others, but he was the only man in history who was supremely successful on both the religious and secular levels.
...
kitabu kiliandikwa 1978 so by then Putin hakuwa na ushawishiPutin hayumo? sisi wazee wa S400 hatukubali, hii ni propaganda za west
Plato ni msomi wa kigiriki alikuwa anatembea na chemli mchana wa jua kali, huyo sio mroma Pilato aliyetoa hukumu ya Masiha.Plato huyo ni yule aliyetoa amri ya kumsulubu yesu kwa kuogopa Wayahudi?
By 1978 Mikhail Gobachev alikuwa hajulikani ni nani, hivyo kitabu kitakuwa kimeandikwa after 1990.kitabu kiliandikwa 1978 so by then Putin hakuwa na ushawishi
Comon Spain wame dozi jamaa haowalikutana na beki mbovu ya uingerezaaustralia na argentina wakatesa sana.
Hoja dhaifu sana hiikuwa na ushawishi inategemeana na mazingira kwa wakati-mfani jamii/mtu mwenye njaa na shida ukimshawishi kitu fulani kipindi hicho ni lahisi kushawishika.
pia labda kuna gonjwa limetokea ktk jamii fulani likakosa tiba ya kisayasi ikatokea mtu akawaaminisha watu kuwa ukishiriki ktk imani fulani basi gonjwa lako litaondoka na ikawa hvyo basi mtu huyo atahesabika kama ana ushawishi mkubwa
May be! Lakini naona kama mleta mada anasema "watu wenye ushawishi mpaka 1978"By 1978 Mikhail Gobachev alikuwa hajulikani ni nani, hivyo kitabu kitakuwa kimeandikwa after 1990.
lete yako isiyo dhaifu tuipimeHoja dhaifu sana hii
First edition imetoka 1978, edition hii ni ya 1992. Nadhani unajua new edition inapotolewa huwa inazingatia mambo gani.By 1978 Mikhail Gobachev alikuwa hajulikani ni nani, hivyo kitabu kitakuwa kimeandikwa after 1990.