Na Tanzania kichwa cha mwendawazimu inashika nafasi ya ngapi? Hawa waliuana kwa maelfu miaka 21 iliyopita (1994) lakini pamoja na "amani" ya miaka 54 na utajiri mkubwa wa rasilimali tunarudi nyuma kimaendeleo, lakini kwa wajinga walio wengi Tanzania hawalioni hili bado wanataka kuendelea kuchagua hawa wahuni waliosababisha hali ya nchi kuzidi kudidimia ukilinganisha na baadhi ya nchi za Afrika.
Kuna watu hapa jukwaani hunifurahisha sana, wao hupinga kila jema la rwanda na hushabikia kila baya la rwanda yaani wenyewe ni rwanda tu!, we ngoja watakuja hapa labda waogope kwa kuwa nimeshawasema.
Kuna watu hapa jukwaani hunifurahisha sana, wao hupinga kila jema la rwanda na hushabikia kila baya la rwanda yaani wenyewe ni rwanda tu!, we ngoja watakuja hapa labda waogope kwa kuwa nimeshawasema.
1. Historia yao haianzii 1994, inaanzia 1958, Rwanda sio nchi mpya.
2. Soma ripoti inaelekea hata hujui kilichoshindanishwa ni kitu gani. Kwa taarifa yako kwenye orodha, pamoja na Tanzania, Rwanda imezipiku Marekani, Uingereza, Ujerumani, China, Korea, Russia......HAO NAO NI VICHWA VYA WENDAWAZIMU?
1. Chief nakuheshimu sana. Umekaa TZ nadhani unaelewa uzito wa hiyo kauli.
2. Topic hii imejirudia it should be merged with: https://www.jamiiforums.com/international-forum/885113-the-most-efficient-governments.html cc: Invisible
Aliyekwambia sijui hilo ni nani! Acha kukurupuka! Mie kulinganisha na nchi za nje ya Afrika kunanihusu nini? Kwani hatuwezi kulinganisha nchi zetu za Kiafrika tu kwa ufanisi? Kwa vile hata mataifa nje ya Afrika yamepitwa na Rwanda basi na sisi tukubaliane na hali hiyo! Oh! Rwanda katika ufanisi wamewapita hata USA! Unaonyesha jinsi ulivyo na akili fupi eti kwa sababu USA wamepitwa na Rwanda basi nasi kama Taifa tukubaliane na hali hiyo! Kwanini na Tanzania isizipite Rwanda na hata hayo mataifa makubwa? Acha tabia za kukurupuka na kuropoka.
Wewe huelewi maana ya kinachojadiliwa na ripoti ndio maana nikakuwekea nchi hizo kubwa ambazo Rwanda imezipita ili kukuonyesha jinsi ulivyokurupuka kudhani kuwa tumepitwa kwa sababu hizo ulizotaja za sijui kuchagua wahuni na blah blah zingine juu ya "ujinga" wa watanzania. Je nchi kama marekani na wenyewe wamechagua wajinga ndio maana wamepitwa na Rwanda? One look at the report itakuonyesha sifa za nchi zinazoongoza ni nini.
Nimeelezea zaidi kwenye thread orijino: https://www.jamiiforums.com/international-forum/885113-the-most-efficient-governments.html
Ingekuwa Burundi instead of Rwanda usingeona thread hii. Except of course rais wa Burundi angekuwa Mtutsi.
Mbona zipo post zinahusu mafanikio ya kenya, tz, ethiopia na uganda, afu ktk nchi zaidi ya 100 duniani kwa nini ww unapenda sana mada za rwanda na kagame?! Tena kwa kuponda wanaposifiwa! Ukinambia kwa nini mk254 anapenda sana mada za kenya jibu ni kwa sababu ni mkenya, kunani wewe na rwanda, watusi na kagame?
Mbona zipo post zinahusu mafanikio ya kenya, tz, ethiopia na uganda, afu ktk nchi zaidi ya 100 duniani kwa nini ww unapenda sana mada za rwanda na kagame?! Tena kwa kuponda wanaposifiwa! Ukinambia kwa nini MK254 anapenda sana mada za kenya jibu ni kwa sababu ni mkenya, kunani wewe na rwanda, watusi na kagame?
Mpumbavu ni wewe ambaye unaona sawa kwa Rwanda kuwashinda wazungu, lakini huoni sawa kwa wale wanaohoji kwanini Tanzania isiwashinde Rwanda na hayo mataifa makubwa. Punguani wewe umeridhika na mediocre performance ya Tanzania ambayo ipo katika kila sekta. Umebaki kutoa povu kuonyesha ujinga wako na kutaka kulazimisha watu wakubaliane nawe kwenye huo ujinga wako uliokithiri.
Nimeshaelezea kwenye original thread kwa nini Tanzania haimo. Lakini wewe unaona sifa kulaumu kwa nini Tanzania haimo kwa sababu zako za kutunga. Ndio maana nikakuchallenge kuonyesha how does "mediocre perfomance" of Tanzania matter wakati ziko nchi kama South Korea na Canada zimepitwa as well? Are they mediocre too? Jibu yes or no please.
Na unaonyesha hujui hata kinachojadiliwa ni nini. Government efficiency ya Rwanda ni zaidi ya marekani. Do you think wamarekani wana matatizo ya "mediocrity" katika serikali kama Tanzania? Sasa kwa nini unalazimisha kuwa tumepitwa kwa sababu ya "uzembe" wetu na sio sababu zile zile zinazofanya MATAIFA YOTE YANAYOIPA RWANDA MISAADA YAPITWE AS WELL? Nenda shule ujifunze jinsi ya kujadili takwimu kabla ya kuanza kubwabwaja!
Kwani kama Tanzania haimo Watanzania hatuwezi kuhoji? Jithamini acha kuthamini wazungu huku ukijidharau. Kama Rwanda wanaweza kufanya vizuri hata kuwapita wazungu wa nchi kubwa na Tanzania pia tunaweza kufanya hivyo kama tukiwa na viongozi wenye vision, hard working na wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu sio hawa wahuni na mafisadi.