Nyanya mbichi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 3,716 Reaction score 2,218 Oct 6, 2014 #1 Habari za muda huu waheshimiwa Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,nimejiuliza sana kuhusu hiko kipindi.Kwa anae fahamu Inawezekana kikawa kipo ila muda wa show nikawa siko kwenye umakini kufuatilia. Au kimekufa baada ya producer wake kufariki.
Habari za muda huu waheshimiwa Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,nimejiuliza sana kuhusu hiko kipindi.Kwa anae fahamu Inawezekana kikawa kipo ila muda wa show nikawa siko kwenye umakini kufuatilia. Au kimekufa baada ya producer wake kufariki.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Oct 6, 2014 #2 hata mi n ataka kujua
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,296 Oct 6, 2014 #3 Napita tu mie
arola JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 550 Reaction score 187 Oct 6, 2014 #4 Si nasikia huyo Mboni alishachepuka na BabaWawili! Atakua kagombana na Mke mwenza mamawawili.
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 Oct 7, 2014 #5 Mboni hayupo UK kwa Etoo kweli....................?
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Oct 8, 2014 #6 arola said: Si nasikia huyo Mboni alishachepuka na BabaWawili! Atakua kagombana na Mke mwenza mamawawili. Click to expand... Mkuu huyo BabaWawili ndo nani?
arola said: Si nasikia huyo Mboni alishachepuka na BabaWawili! Atakua kagombana na Mke mwenza mamawawili. Click to expand... Mkuu huyo BabaWawili ndo nani?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 Oct 8, 2014 #7 kende said: Mkuu huyo BabaWawili ndo nani? Click to expand... Bwana Machache.
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Oct 8, 2014 #8 Kumbe dada yetu alilia kwa mengi
cute datty JF-Expert Member Joined Jul 11, 2014 Posts 582 Reaction score 277 Oct 8, 2014 #9 arola said: Si nasikia huyo Mboni alishachepuka na BabaWawili! Atakua kagombana na Mke mwenza mamawawili. Click to expand... Really!!! haka ka ubuyu kapya kwangu.
arola said: Si nasikia huyo Mboni alishachepuka na BabaWawili! Atakua kagombana na Mke mwenza mamawawili. Click to expand... Really!!! haka ka ubuyu kapya kwangu.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Oct 8, 2014 #10 kende said: Mkuu huyo BabaWawili ndo nani? Click to expand... Kufuatacho ITV na Guardian
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Oct 9, 2014 #11 Kigogo said: Kufuatacho ITV na Guardian Click to expand... duh hahahaha huyu mzee hivi aliruka stage?
Kigogo said: Kufuatacho ITV na Guardian Click to expand... duh hahahaha huyu mzee hivi aliruka stage?