The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wakati tunaendelea kungoja kabumbu safi hebu tujikumbushe safari yetu ya ubingwa wa ulaya msimu wa 2022/23.

Group stage

Sevilla 0-4 Manchester City
Manchester City 2-1 Borrusia Dortmund
Manchester City 5-0 Copenhagen
Copenhagen 0-0 Manchester city
Manchester City 3-1 Sevilla
Borussia Dortmund 0-0 Manchester City

ROUND OF 16
RB Leipzig 1-1 Manchester City
Manchester City 7-0 RB Leipzig 🔥

QUARTER FINAL
Manchester City 3-0 Bayern Munich
Bayern Munich 1-1 Manchester City

SEMI FINAL
Real Madrid 1-1 Manchester City
Manchester City 4-0 Real Madrid

FINAL

Manchester City 1-0 Internazionale Milan

🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆

Only 2 goals conceded at etihad.
 
Leo Carlo Hana mbinu nyingine Zaidi ya kupaki bus na kusubili Mikimbio ya vin na Rodrigo mbele ...

Madrid wakisema tupishane basi anaenda Kula kichapo kingine zile NNE zilikuwa ndogo ..
Domination hiyo ni uhakika lazima watuachie mpira then wao wacheze mipira mirefu na counter.

Cha muhimu ni kuwa clinical tunapopata nafasi tunawamaliza hapohapo.
 
Game itakua tamu madrid wakiamua kufunguka full, leo Kdb yupo hapo ndo watamjua halaand ni dude gani.
 
Leo ile kiu yetu ya kuona KDB na Foden wanaanza pamoja kwenye midfield inaweza kukatwa.

Unless Pep aamue kumchezesha winga foden, basi leo tutamuona aki pair na KDB Kwenye 2-2 structure pale kati.

KDB..............Foden

Rodri..........Stones
 
Hellow the Cityzens.

Leo tunaonyeshana umwamba kwa mara nyingine tena na jeshi la Ancelotti. Vitabuni mechi ya leo ipo mikononi mwetu sababu ya factors mbalimbali.

1. Uwanja wa nyumbani
Mara ya mwisho kufungwa pale Etihadi stadium kwenye UEFA ilikua miaka 6 iliyopita, form yetu kwenye uwanja wa nyumbani lazima imtie hofu mpinzani yeyote anayekuja pale.

2. Kurejeakwa Kevin De Bruyne.
Game ya kwanza mwamba aliikosa sababu ya ugonjwa ila sasa yuko tayari kuwavaa madrid. Kurejea kwa de bruyne kutaleta uhai kwa Haaland kwa sababu duo yao iko productive kitakwimu.

3. General form ya City
Kiujumla form ya city ipo vizuri kwenye michuano hii msimu huu ukizingatia na sare ya 3-3 ugenini hivyo mchezo uko upande wetu.

KItu kinachonitia hofu ni defence yetu ya msimu huu inafanya makosa mengi sana. Kurejea kwa walker ni jambo jema.

Defence leo kulia aanze walker, katikati dias na stones kama kawaida kushoto Ake ama Akanji.

Gvardiol ameonyesha game nzuri kwenye mechi kadhaa zilizopita lakini sio mzuri sana kwenye 1v1 na kwa aina ya uchezaji wetu wa highline na stones kusogea katikati, tutakua tunabaki na mabeki 3 hivyo tunahitaji mabeki walio tough na wazuri kwnye 1v1 ambapo ake au akanjj wote ni tough na waxuri zaidi kwenye 1v1 kuliko Gvardiol.

Pia kuchezesha kdb na foden kwa pamoja kama double no 10 naona ni risky mno kwa timu kama madrid sababu tutakua open sana na itakua hatari zaidi kama madrid wakija na mentality ya kukaa nyuma.

All in all nategemea game ya kusisimua usiku wa leo.

The cityzens 💪💪
 
GLUTAI6WMAAiHCg.jpeg

Mashabiki wa Barcelona Leo tupo Man City
 
Gvardiol kwa kiwango alichoonyesha sidhani kama ataanzia benchi.

Kuhusu kdb & foden
Msimu uliopita tumetumia style hiihii isipokua tu ilikua ni kdb & gundogan.
That's why stones anasogea kwenye midfield ili kuongeza shield pale kati.
 
Madrid wamebadili hoteli ambayo walikua wanafikia kwa hii misimu miwili iliyopita kwasabu mechi zote tumewapiga kamba.
 
Hellow the Cityzens.

Leo tunaonyeshana umwamba kwa mara nyingine tena na jeshi la Ancelotti. Vitabuni mechi ya leo ipo mikononi mwetu sababu ya factors mbalimbali.

1. Uwanja wa nyumbani
Mara ya mwisho kufungwa pale Etihadi stadium kwenye UEFA ilikua miaka 6 iliyopita, form yetu kwenye uwanja wa nyumbani lazima imtie hofu mpinzani yeyote anayekuja pale.

2. Kurejeakwa Kevin De Bruyne.
Game ya kwanza mwamba aliikosa sababu ya ugonjwa ila sasa yuko tayari kuwavaa madrid. Kurejea kwa de bruyne kutaleta uhai kwa Haaland kwa sababu duo yao iko productive kitakwimu.

3. General form ya City
Kiujumla form ya city ipo vizuri kwenye michuano hii msimu huu ukizingatia na sare ya 3-3 ugenini hivyo mchezo uko upande wetu.

KItu kinachonitia hofu ni defence yetu ya msimu huu inafanya makosa mengi sana. Kurejea kwa walker ni jambo jema.

Defence leo kulia aanze walker, katikati dias na stones kama kawaida kushoto Ake ama Akanji.

Gvardiol ameonyesha game nzuri kwenye mechi kadhaa zilizopita lakini sio mzuri sana kwenye 1v1 na kwa aina ya uchezaji wetu wa highline na stones kusogea katikati, tutakua tunabaki na mabeki 3 hivyo tunahitaji mabeki walio tough na wazuri kwnye 1v1 ambapo ake au akanjj wote ni tough na waxuri zaidi kwenye 1v1 kuliko Gvardiol.

Pia kuchezesha kdb na foden kwa pamoja kama double no 10 naona ni risky mno kwa timu kama madrid sababu tutakua open sana na itakua hatari zaidi kama madrid wakija na mentality ya kukaa nyuma.

All in all nategemea game ya kusisimua usiku wa leo.

The cityzens
Mim mwenyewe ninawasiwasi ya kdb n Foden Kwa pamoja ,Hawa wote sio wakabaji Sana pale Katikati, rodri watampa Kazi kubwa mno off ball ....

Kuhusu Madrid sioni mbinu nyingine Zaidi ya counter attack ,Walker Yupo uwanjani Leo ,watakula sahani moja na Vin mpaka kieleweke ..
 
Yeah maybe foden acheze winga then bernado arudi kati.
 
Line up ,Walker ndani ,Foden na kdb ndani ...

Wasiwasi wangu Ni kuwa sio wakabaji Sana rodri atakuwa na Kazi kubwa Sana Leo
1765258307.jpg
 
Line up ,Walker ndani ,Foden na kdb ndani ...

Wasiwasi wangu Ni kuwa sio wakabaji Sana rodri atakuwa na Kazi kubwa Sana Leo View attachment 2966697
Hiki kikosi akina nani watakaba ipasavyo hapo kati?, upande wa Jack utakuwa uchochoro Gvardiol hatakuwa na msaada toshelevu wa kusaidia kukaba.

Kitakachowaweka salama City ni hofu ya Madrid kufunguka wasijepishana na pass mpenyezo za KDB kwenda kwa Jini lenu.
 
Back
Top Bottom