Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Haaland...huyu huyu ama yupi kijana?Acheni ushamba nyie .. huyu halaand hafiki desemba atakuwa anatafuta mpira kwa tochi. Kwa sasa chelsea moto ushawaka🤪🤪
Haaland...huyu huyu ama yupi kijana?Acheni ushamba nyie .. huyu halaand hafiki desemba atakuwa anatafuta mpira kwa tochi. Kwa sasa chelsea moto ushawaka🤪🤪

Hii game pep aliipuuzia ...anacheza game anawaza Liverpool jumapiliHii game ya leo Guardiola kafanya ni game ya mazoezi kwa j'mosi nawambia wala hakuwa na machungu nayo kabisa.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app

Hii game ya leo Guardiola kafanya ni game ya mazoezi kwa j'mosi nawambia wala hakuwa na machungu nayo kabisa.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app

unafikiri mlikuwa na Gadiola. 

Umemaliza kuota?Hii ndiyo tatizo la watanzania. Ujuaji mwingi kweli kweliunafikiri mlikuwa na Gadiola.
Umeshindwa kupata paoint umeshindwa. Duniani hakuna kocha ambae hataki kupata point 3. Inapotokea kukosa anaomba apate walau sare. Sasa ninyi wabongo wenzangu mnajifanya kila kitu mnajua.
Na vipi mngeahinda mngesema ivi ivi au. Subirini Liver akawanyoe vizuri ndiyo akili iwakae sawa![]()
Kusema kweli hakuna game ya Liverpool Vs man city ninayoangaliaga kwa amani ,huwa pressure inakuwa juu , Liverpool waki turn up ,Wana high pressing ya hatari , energy kalii ....Hii ndiyo tatizo la watanzania. Ujuaji mwingi kweli kweliunafikiri mlikuwa na Gadiola.